Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
mbona forum ni nyingi tu...wakenya kuwa hapa si kwa sababu wamekosa forum zao ila ni sababu ya kutaka kupata exposure na kujua mambo yanavoendelea nchi zingine...nimeingia forum moja ya Kiafrika Kusini juzi ila ni very boring..Nairaland tupo...Quora tupo...Kenyan forums pia tupo...tafta excuse ingine ndugu...Huo ni ukwel pure hakuna chuki wala ubinafsi...sasa uyo manzi Kua actress maarufu ndio mkaamua kumuita ni mrembo mweusi wa dunia hahahaha maajabu sana, El umesema hatujafnikiwa umesahahu jamii forum unayopigia domo ni yetu![]()
