Navyofikiri ni sawa...Walichora lipstic ikabuma, wakaanza kujenga vituo imebuma tena, wakaleta mabasi sijui ya umeme, yamepack museum…….Kenya bhana[emoji23][emoji23]
Jifunze kitu kwanzaHaha. Ata wakipanda miti ipe 20 years ifanane na a real State House.
Government should not have shortage of green land. Sijui mbona walichagua jangwa.
Machakos Governor's office any day.
Dodoma
View attachment 2418772
Machakos
View attachment 2418773
View attachment 2418775
Tunasubiri matokeo yani hata sijui ni vita gani mushawah kupigana 🤣🤣🤣 alshabab mumewashindwa mutaweza DRCKenya is the husband of East African countries. Second batch of KDF troops have arrived in Goma DRC.
View attachment 2418802View attachment 2418803
Akikujibu nitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba SGR ni km chache, niambie nchi moja duniani inayojenga electricfied railway ya km 1800, unafikiri tunajenga reli inayoishia Suswa sisi?
Hakuna BRT itajengwa Kenya kwa miaka 300 ijayo, miundombinu yao waliijenga hovyo hovyo, hairuhusu modern transport infrastructures unless wabomoe waanze upya.Navyofikiri ni sawa...
WALE WAMILIKI WA MATATU NDO WANAKWAMISHA BRT YAO ISIJENGWE...PLUS CORRUPTION
Usd.1.7B employing 56,000 Tanzanians imagine, hii .7 mbona hauitajiKampuni 500 ambazo zimewekeza only $1 bn ndio ziajiri Wakenya wengi kiasi cha Tanzania kuizidi SA kwa nchi zinazowapa Wakenya remittance? Na kwenye hiyo _$1 bn ondoa benki ya KCB ambayo imewekeza karibu nusu ya hyo pesa, so hiyo inayobakia ndiyo hizo kampuni nyingine zinagawana, sasa utaita hzo kampuni au uchafu?
Wakenya wengi wameajiriwa hapa Tanzania kama walimu na asilimia kubwa wanatundisha kindergarten usitake kujifanya hujui hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunasubiri matokeo yani hata sijui ni vita gani mushawah kupigana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] alshabab mumewashindwa mutaweza DRC
Kwani Tazara railway na Tazama pipeline inaanzia wapi na kuishia wapi hapa Africa jaribu kutumia akili yako hata 0.1% itakusaidia huko mbele.How can Tanzania be Chinese gateway to Africa yet it doesn't have Chinese funded project that starts from any of your ports to the inland Africa? Mbona huwa mnapenda kujidanganya na kudanganywa pia? In fact China doesn't trust Tanzania.
Hii kitaalamu inaitwa Uchumi huria, hatuna figisu za kipumbavu kama kwenu.Kenyans hold Tanzania by the balls
View attachment 2418280
Hiyo ni brt au ni vibanda vya bus stop tuu?Hebu malizia hii BRT...yaan wamiliki wa matatu wanawashinda akili....
Jijo lenu hata likiendeleaje...kama halina public transport ya kueleweka litabaki uchafu milele tu...hebu malizieni BRT hii mpendezeshe mji wenu...
Dah sijaelewa naona cha ugoko kimezidi hapa [emoji16]DRC is showing Tanzania middle fingure[emoji867][emoji867].[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliekwambia nani walitoroka ikiwa kila siku munauliwa kama kuku 🤣🤣🤣🤣
Mbona hawa mabwana zako walitoroka kismayo vile waliskia kdf wanakuja saa zingine wacha kutumia kichwa kama hanger ya meno msee[emoji23][emoji23] enda ground
Wewe sifia mabwana zako lakini huwezi ends ground uzimwe kama wenzakoAliekwambia nani walitoroka ikiwa kila siku munauliwa kama kuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua ichogal machozi inamtoka
post hii iwekewe laminationWakenya wenye akili ni wachache sana.