Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aliyekushikia bunduki kichwani na akakulazimisha umwoe mkenya ni nani? 😀😀😀

Mtosheke msitosheke swala lisilo na ubishi ni: Wanawake wenu ni kama Wanaume na mnaoita warembo ni hovyo. Ni ji demu tu lilolo nene nene kama Vera sidika but shepu ya hovyo. Miguu fitoo, sura hovyo na rangi ni MPINGO.

Ni hali mbaya ya masha Kenya, mtu anakua kwa kula Ugali, sukuma na Kimbo rangi adimu atatoa wapi? mbili, mnaoana kwa makabila, rangi na uzuri mtatoa wapi?

Lisa Jensen - Tanzania
mubashara bila chenga.











anagalia totoz hapa Lisa Jensen: Lisa Jensen is a Sexy Mama in new Photoshoot | M.P Blog
 
heri wewe umesema ukweli wako...watanzania wengi hapa wana la kujifunza
 
haya kamwoe sasa...tumetosheka na wetu sisi walio na sura ngumu...😀😀😀 tukitamani wa nje tutakimbilia Ethiopia...
 

Hamia Kenya tu
 
Reactions: nao


Wewe akili yako haina akili.
 
Hizo picha ni kama photoshop tu.. Ukifika in reality sehemu ni mbaya huwezi amini

Muogope Mungu!
Kama Bongo ni pabaya how come watoto Mubashara bila chenga wanaishi huko? Ungekua unawaona kila siku Kibera or Mathare.

Nelly








Huwa hatutaki Longo longo na Picha za kuokoteza. Tunatoa picha na reference: Nelly Kamwelu brings sexy back! | M.P Blog


Moja ya raha unapata Unapokua Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla ni kuosha kwa macho or kuonana na Tausi wakareeee! Adimu Kenya.
 
Watanzania sisi porojo na pang'ang'a ndio jadi yetu ila action hakuna.

Futeni huu uzi huwa unanitia ukakasi nikiuona
wewe sio kwanza kuonyesha chuki ya kuichukia thread hii...wamekuja wenzio kama wewe zaidi ya 10 na malalamiko hayo hayo.

baada ya kupitia comment yako,ikabidi niende nikatembelee profile yako ili nijue aina ya thread ulizowahi kuzianzisha.

hii ndio aina ya thread zako.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

ma- comrade wenzangu,mtu kama huyu ambaye thread zake tu zinaonyesha ni mwenye upeo wa aina gani,anapata wapi audacity ya kutaka thread hii ifutwe?.smh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ndugu wakikosana shika jembe ukalime........😀😀😀😀
 
wanapigana wenyewe kwa wenyewe....ishakua cinema sasa...i also need some popcorn
 
Chaliifrancisco hii thread kama imekuboa sana meza wembe
 
Ukweli usemwe cc ichoboy kadoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…