Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujenzi unaendana na mahitaji ya soko Wala sio kegezo Cha kupendezesha..

Ukweli wa Mambo Ni kwamba kabla ya Mwendazake kuwa Rais majengo hayi yalikuwa na wapangaji ila alivuruga Uchumi yakabakia empty saizi ndio kidogo yanaanza ku recover..

Mnajizungusha we're badala ya ku hit the point.Kama majengo hayalipi Basi ungekuta huko kwenye Miji yetu Hakuna majengo ya biashara na makazi yanajengwa..

Maviwanda Ni very risk kuliko majengo.
 
Kwenye Utalii Tanzania haina mpinzani..

Yanyakua tuzo lukuki πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221114-112239.png
    138 KB · Views: 33
Utasikia mtu anasema Tanzania Kuna maisha magumu πŸ˜‚πŸ˜‚..

Kama Tanzania maisha Ni magumu huko Kunyaland,Uganda,Rwanda etc wanaishije kwa Hali Kama hii hapa ? πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221113-083017.png
    93.3 KB · Views: 31
Mzee wa bambuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee wa bambuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
eti Bambuli πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ lishamba kutoka gongo la mboto, chief zezetaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., sema Bamburi.., yaani BambuRI.., sio LI.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, yaani ni mtaa wa anasa sana!, watanzania wako kwa wingi hiyo mtaa.,
Bamburi Mtambo, Mombasa


 
Mzee wa bambuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na isikue umepotea njia unadhani hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ ni "Bambuli" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , hapa sio Bamburi ni moja kati ya mitaa pale Kiembeni mjuu wangu.., zoea Kenya..,
Kiembeni Mombasa..,(mikusanyiko ya estates ndani ya Kiembeni)





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…