The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Rais wa TZ we anakuuma nn? Badala umchukie baba.ako kashindwa kukupeleka shule mpk umekuwa chokoraa unamchukia rais ambaye hukumpigia kura na wala hakuhusu kabisa, wewe mchukie Kenyatta ndiyo alisababisha uwe chokoraa kwa kuwapa ardhi yote wazungu wapande maua badala ya chakula na kupelekea leo muwe na njaa miaka nenda rudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Magufuli was a fool
Mara ya mwisho Angola na Zimbabwe waliipigania Kongo, ila kwa kuwa nchi nyingine za SADC kama TZ zinajiweka pembeni, nazo zinaona hazina haja ya kupoteza rasilimali zao kupigana DRC.Ila SADC kuna kitu inafanya si sawa! Hii DRC ni territory ya SADC for long, saahii Mozambique kuna RDF na sasa eastern DRC hawa mbwa wanaenda ukiachia presence ya Uganda na Burundi! Kenya inatumwa na mabwana zake the West kuenda kulinda interests za western nations! Kitakachotokea ni vita kati ya Uganda na Rwanda dhidi ya Kenya!
Zanzibar imeizidi Mombasa kwa mbali sana na linapokuja suala la mahoteli hakuna mji hapa EA unaigusa Zanzibar hata Dar inasubiri.Uwekezaji wa mahoteli na resorts zanzibar unazidi kushamiri tuu
View attachment 2415241
Yani kuna mahoteli na residential houses zinajegwa huko zenji kufuru aisee hapa EA hamna ,serikali ipambane tu kufikisha barabara kwenye hayo maeneo na kuboresha makazi ya watu ili mji uendane na hadhi yakeZanzibar imeizidi Mombasa kwa mbali sana na linapokuja suala la mahoteli hakuna mji hapa EA unaigusa Zanzibar hata Dar inasubiri.
Zanzibar inaipiga ka Nairobi hands down linapokuja suala la estate.Yani kuna mahoteli na residential houses zinajegwa huko zenji kufuru aisee hapa EA hamna ,serikali ipambane tu kufikisha barabara kwenye hayo maeneo na kuboresha makazi ya watu ili mji uendane na hadhi yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nadhani hao unaowalenga nao pia wanaweza kukujibu hivyo hivyo ila "in opposite direction".
Kuna watu duniani wameumbwa kusifia tu, ila ukiwauliza wanachosifia ni kitu gani, hawana la kujibu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Woke up to this shocking news tooMoyo wangu leo umeumia Izzy kupigwa na kupoteza mkanda (MMA). Tulikuwa na waafrika watatu mabingwa, sasa amebakia mmoja tuu.
Rais wa TZ we anakuuma nn? Badala umchukie baba.ako kashindwa kukupeleka shule mpk umekuwa chokoraa unamchukia rais ambaye hukumpigia kura na wala hakuhusu kabisa, wewe mchukie Kenyatta ndiyo alisababisha uwe chokoraa kwa kuwapa ardhi yote wazungu wapande maua badala ya chakula na kupelekea leo muwe na njaa miaka nenda rudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
then if u don't have crash on beautiful ladies.. then somethng must be the matter with you...you’ll realize it’s worthy nothing but a wastage of time.
the likes of Ramaphosa ndio wanaua misingi ya SADC!Mara ya mwisho Angola na Zimbabwe waliipigania Kongo, ila kwa kuwa nchi nyingine za SADC kama TZ zinajiweka pembeni, nazo zinaona hazina haja ya kupoteza rasilimali zao kupigana DRC.
Duh Sio mchezo... Naona zenji inakuwa Dubai ya Afrika.Uwekezaji wa mahoteli na resorts zanzibar unazidi kushamiri tuu
View attachment 2415241
Naona Angola ndio mpatanishi wa hizi drama za Congo na Rwanda..Mara ya mwisho Angola na Zimbabwe waliipigania Kongo, ila kwa kuwa nchi nyingine za SADC kama TZ zinajiweka pembeni, nazo zinaona hazina haja ya kupoteza rasilimali zao kupigana DRC.
Nachopendea nchi yangu ni kwamba... Inapenda vitu vizuri.. Na vitu vizuri inavijua... Hata atoke mjenzi kutoa nje huko.. Lazima apewe muongozoo..
Karibu kwenye forum na uzi huu ndugu..Labda niwasaidie way wenzangu. Natural resources zote mnazopost hapa kijinga sio fahari Yenu Ila ya Mungu. Na nyie hamjaongeza value yoyote. Mmejikuta hapo km vile samaki na wanyama na ndege wamejikuta. Kwa hiyo tutumie akili kidogo kuondoa aibu.
Jambo jingine muhimu sana sana zaidi ya hayo ma white elephants kwa nchi zote ni hili.
Wote wana punch beyond their reach.. Ila Kenya Wana afadhali. Vitu vingi Wana afford. Wanavitumia vyema na wanalipa kwa kiasia wanaweza maintain. Tanzania kila kitu lipo abused and underutilised. Sio sustainable.
The way you got it makes me laugh. Km watz wengine mlivyo huwa hampendi Sana kuangalia size of the fight.Karibu kwenye forum na uzi huu ndugu..
Kaa Kwa kutulia upate muongozoo... Watu wako miaka mingi hapa wamepigana vita ya kutosha...