Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila nyie mbwa huwa mnachekesha sn kwa kupenda kujipiga kifua kwa kitu hamna, ona huu uchafu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2414292
Imagine Alpha groupd of schools wanafanya their flight training here, kwani hii NIT huwa mnasifia kumbe haina flight school [emoji23][emoji23] the only aiport in east africa that has hosted numerous airshows
 
Sio kwa ubaya iyo greenery inavutia sana mkali,inafaa na sisi tupabde miti sana hapa town
Tunazo nyingi sana na sio pori kama hilo, ukitaka sema nikupostie, hao ni ukosefu wa majengo na ndiyo maana kukijengwa jengo unawaona wakipiga kelele za kusifia bila kujali hiyo miti inayokatwa hapo, ka Nairobi bado sana kwa majengo. Eneo kubwa bado pori ukiacha mbuga.
 
Hapa kweli ukifa halafu ukienda hell umekua umeenda hell mara mbili [emoji23] pote pamoto.
Huwa nawaambia Wakenya hawatoenda motoni labda motoni waende wanasiasa tu lkn Wakenya wengi tayari wapo motoni hapa duniani.
 
On the contrary the TZS has stood the ground against USD all these times when KES was dipping. Any explanation on that?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…