The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Au angalia hii hapa ngoma ya Yanga Africa iliyoimbwa na hayati Pepe kalle akiisifia timu bora ya Afrika mashariki na kati na haturingi wala hatupigi kelele [emoji116][emoji116]Enda uskize Nakei Dar es Salaam basi.
[emoji23][emoji23]Enda uskize Nakei Dar es Salaam basi.
Why do you like cheating yourselves? You have less than 30 but now let me give you 60. Un Kenya we have more tgan 200 bus companies.Wakat huo nyiny mnakampuni za mabus zisizozid 30 hku Tz ina kampun 200+
Hina Akili hata moja! Pumbavu!kwani umesahau kenya, tulinasua namibia, south sudan, liberia, somalia, ethiopia, DRcongo!?...... hebu gugo tafadhali, kisha urejee hapa, uscheze mbali... nakutegea kwa hamu[emoji1431]
hope ume note vyema.... nimesema
Namibia around 1989-90,
SouthSudan around 2009-10,
Liberia in the 90s,
TheNewSomalia around 2001-03,
Ethiopia's (Oromo Tigrey region) at this moment 2022,
DRCongo at this moment 2022..
Unatupigia kelele. New order from Dar Express.Huyo tajiri aje Kenya kununua bus atakuwa kichaa kama wewe mnuka mavi. Matajiri wa Tanzania huwa wananunua buses kuanzia 100+ kwa mkupuo, viwanda vyenu vya ku assemble ni vidogovidogo, kwa mwezi utakuta kina assemble bus moja au mbili, so ili buses 100+ zitimie itahitajika miaka si chini ya mitano au sita, kwa huku Tz kila mwaka tajiri anaondoa bus mbovu anazileta Kenya na mengine yanaingia vijijini ndani ndani huko.
So huyo tajiri atakuwa mwehu kiasi gani eti anunue bus 100+ Kenya kwa miaka mitano au aagize bus direct from manufacturer in less than 6months gari zimefika. And mind you, tajiri huyo huyo anazitoa bus mbovu kwenye mzunguko anazileta Kenya na zingine anazipeleka vijijini ndani ndani mana huku Tz kwa route za mikoani hazihitajiki bus mbovu, watu hawapandi.
Ndio mmepokea cruise ship ya kwanza mnapiga kelele. Kwanza ship enyewe ni ndogo kweli kweli.
Nimepitia bus moja linaitwa vangaWhy do you like cheating yourselves? You have less than 30 but now let me give you 60. Un Kenya we have more tgan 200 bus companies.
1. Ena Coach
2. Bus Car
3. Modern Coast
4. Simba Coach
5. Randa
6. Mash Poa
7. Periska
8. Kitale Line
9. Easy Coach
10. Guardian Angel
11. Transline
12. Super Metro
13. Dreamline
14. Marbuk
15. Rayan
16. Royal Coach
17. Moyale Coach
18. Coast bus
19. Simba Coach
20. Daima Special
21. Climax
22. Isiolo Raha
23. Garrisa Coach
24. Tahmeed
25. Soores
26. Crown Bus
27. Alma Santiago
28. Liban
29. Classic
30. Greenline
31. Friends
32. Moyale Star
33. Nurein
34. Crane Coach
35. Planet
36. Pioneer
37. Chania Cool
38. Hodan
39. Gateway
40. Executive
41. Tawakal
42. Nyamira Express
43. Nyaugenya
44. Mbukinya
45. Eldoret Express
46. Dama.com
47. Kawere
48. Vanga
49. Waso Liner
50. Spanish
51. Moyale Liner
52. Bongo Safaris
53. Maralal Safaris
54. Western Express
55. Western Icon
56. Promise
57. Specialist
58. Rene Royal
59. Msamaria Mwema.
60. Mombasa Raha.
You said our bus companies haziezifika 30, nimekuonyesha 60 sasa umekuja na mambo mengine. For your information, Kenya has better and more beautiful buses than your witch country.
Tatizo la huyu mama hayuko vizuri upstairs na wajanja CCM wanamlisha tu maneno ya kijinga na yeye anakuja kuyatapika public!
Tatizo la huyu mama hayuko vizuri upstairs na wajanja CCM wanamlisha tu maneno ya kijinga na yeye anakuja kuyatapika public!
You said our bus companies haziezifika 30, nimekuonyesha 60 sasa umekuja na mambo mengine. For your information, Kenya has better and more beautiful buses than your witch country.
Tatizo la huyu mama hayuko vizuri upstairs na wajanja CCM wanamlisha tu maneno ya kijinga na yeye anakuja kuyatapika public!
Hii nayo ndio inaitwa kampuni ya bus Kenya!!!!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa mtazamo wakoYou said our bus companies haziezifika 30, nimekuonyesha 60 sasa umekuja na mambo mengine. For your information, Kenya has better and more beautiful buses than your witch country.
Hii sababu huwa inanifanya nisimlaumu mama, sababu you can’t force a 6-months baby to walk, she don’t have that ability..
Hata Hakudhani kama iko siku atajikuta kwenye Jukumu kubwa kama hilo,
My only problem with her ni pale anapoonesha nia ya kuendelea past 2025.
Mwingine huyu hapaTatizo la huyu mama hayuko vizuri upstairs na wajanja CCM wanamlisha tu maneno ya kijinga na yeye anakuja kuyatapika public!
[emoji28]Hii inafanana kabisa na ile kampuni ya basi zinazoenda kijijini kwetu [emoji3][emoji3][emoji3]