dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
hii kitu hii.! hii........ hiii..!🦵🏽Siku za Moi kuna Dada mwanahabari wa Kikenya mrembo sana anaitwa Catherine Kasavuli - enzi hizo yeye ndio alikuwa dada wa kutamani nchini. Sasa kuna rumours kwamba Moi ndiye alikuwa anatafuna. Halafu same time mwanamziki wa Kikongo Kanda Bongoman naye ndiye alikuwa amehit sana ukanda huu. The same time wasanii wengi wa Congo waliishi na kutolea nyimbo Kenya maanake Congo ilikuwa unstable. Sasa huyo Kanda Bongoman akanyemelea huyo Catherine Kasavuli naye akaanza kutafuna. Moi hakufurahishwa na hilo hadi akaban nyimbo za Kongo kuchezwa Kenya na wanamziki wa Congo kuperform Kenya. Huu wimbo, Nakei Nairobi Mbilia Bel aliutoa kusifia Moi ndio Moi akakubali tena wanamziki wa Congo kuishi na kuperform Kenya.
Hako kanyimbo unaweza kuskiliza safari inaanza mpaka unafika na usistuke[emoji28]Siku za Moi kuna Dada mwanahabari wa Kikenya mrembo sana anaitwa Catherine Kasavuli - enzi hizo yeye ndio alikuwa dada wa kutamani nchini. Sasa kuna rumours kwamba Moi ndiye alikuwa anatafuna. Halafu same time mwanamziki wa Kikongo Kanda Bongoman naye ndiye alikuwa amehit sana ukanda huu. The same time wasanii wengi wa Congo waliishi na kutolea nyimbo Kenya maanake Congo ilikuwa unstable. Sasa huyo Kanda Bongoman akanyemelea huyo Catherine Kasavuli naye akaanza kutafuna. Moi hakufurahishwa na hilo hadi akaban nyimbo za Kongo kuchezwa Kenya na wanamziki wa Congo kuperform Kenya. Huu wimbo, Nakei Nairobi Mbilia Bel aliutoa kusifia Moi ndio Moi akakubali tena wanamziki wa Congo kuishi na kuperform Kenya.
Umeona wapi nikisupport kua tumeshuka?Acha kuniwaza kijana.
Na tangu lini akawa expert ya masuala ya uchumi?anazingua sana yule babuNi mpigaji na ana tamaa sn, JPM alimstukia akampiga chini, hana faida yoyote kwa taifa.
Including Tanzania's BRT buses[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakat huo nyiny mnakampuni za mabus zisizozid 30 hku Tz ina kampun 200+
Labda alitaka kuandika top crime city, hiyo prime haijawahi tokea NairobiNairobi, Kenya [emoji1139] has been named as Africa's top prime city by Knight Frank.
Nairobi was the only African city that record growth in the Third Quarter of 2022 in the Knight Frank Prime Global Cities Index.View attachment 2412951
Anashauri bank zipunguze riba ili kuukabili mfumuko wa bei, sasa riba zikipungua pesa si ndiyo zitajaa mtaani, na pesa zikijaa theory of demand and supply inasemaje? Price will go up as usual.Na tangu lini akawa expert ya masuala ya uchumi?anazingua sana yule babu
This is hell indeed.Streets of Downtown Nairobae,
Mji mchafu utadhani zizi la nguruwe , wakunya ni wachafu sana, wazee wa kunyakunya kila pahala na kwenye plastic bags, a reason Cholera kills thousands in Kunyaland. na vile you don’t poo with water.. stinking asses all over [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
View attachment 2412978
View attachment 2412979
View attachment 2412980
View attachment 2412981
View attachment 2412982
View attachment 2412983
View attachment 2412984
This is hell indeed.Streets of Downtown Nairobae,
Mji mchafu utadhani zizi la nguruwe , wakunya ni wachafu sana, wazee wa kunyakunya kila pahala na kwenye plastic bags, a reason Cholera kills thousands in Kunyaland. na vile you don’t poo with water.. stinking asses all over [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
View attachment 2412978
View attachment 2412979
View attachment 2412980
View attachment 2412981
View attachment 2412982
View attachment 2412983
View attachment 2412984
Huyo tajiri aje Kenya kununua bus atakuwa kichaa kama wewe mnuka mavi. Matajiri wa Tanzania huwa wananunua buses kuanzia 100+ kwa mkupuo, viwanda vyenu vya ku assemble ni vidogovidogo, kwa mwezi utakuta kina assemble bus moja au mbili, so ili buses 100+ zitimie itahitajika miaka si chini ya mitano au sita, kwa huku Tz kila mwaka tajiri anaondoa bus mbovu anazileta Kenya na mengine yanaingia vijijini ndani ndani huko.
Na tangu lini akawa expert ya masuala ya uchumi?anazingua sana yule babu
Akafundishe geology watoto wa vyuo vikuu icho ndio anachowezaHata huko kwenye eneo lake kama mtaalamu wa Geology amezingua sana akiwa waziri, wakati akiwa wizara ya nishati na madini kina Lugemarila wakakwapua bilioni 320+ wakati yeye akichekacheka tu,
Yale maeneo ambayo wachimbaji wadogo wa dhahabu walitakiwa kuchimba yaliuzwa juu kwa juu kwa makampuni ya kikorea na kichina, Wachimbaji wadogo wa dhahabu (wazawa) walikuwa kama wapo Kuzimu wakati wa JK na huyu mwamba akiwa waziri,
Thanks JPM, sasa Chunya tunachimba dhahabu kwa amani walau japo mambo yameanza kuharibika tena.
Huyo profesa Muhongo ni muongo kama jina lake, pia ana tamaa sn, JPM aliwahi kutilia shaka uwezo wake na alimponda wazi wazi siku ile anamuambia ajiuzulu. Ni wa hovyo sn, tulikuwa hatujui kama ni wahovyo mpk JPM alipokuja kutugutusha, na mpk leo uyo jamaa hampendi Magufuli.Hata huko kwenye eneo lake kama mtaalamu wa Geology amezingua sana akiwa waziri, wakati akiwa wizara ya nishati na madini kina Lugemarila wakakwapua bilioni 320+ wakati yeye akichekacheka tu,
Yale maeneo ambayo wachimbaji wadogo wa dhahabu walitakiwa kuchimba yaliuzwa juu kwa juu kwa makampuni ya kikorea na kichina, Wachimbaji wadogo wa dhahabu (wazawa) walikuwa kama wapo Kuzimu wakati wa JK na huyu mwamba akiwa waziri,
Thanks JPM, sasa Chunya tunachimba dhahabu kwa amani walau japo mambo yameanza kuharibika tena.
Akafundishe geology watoto wa vyuo vikuu icho ndio anachoweza