Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ilikuwa CIVIL WAR sio kutoka kenye makucha ya mkoloni
 
Wakenya ni wapumbavu hawawezi kukuelewa mkuu.
 
Mtafika wala usife moyo, endeleeni kujenga ata kama ni mwendo wa kobe, mtafika tu.
Kwenye bridges tulishafika kitambo, now tunaonesha matusi tu kwamba bridge ipo na inafanya kazi lkn tunajenga nyingine pembeni yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatujamaliza sgr project loading kalemia-lubambashi

View attachment 2412523
Miradi mikubwa ya EA yote tumechukua, EACOP (Uganda), SGR (Congo and Burundi and soon Rwanda), Gesi na umeme (Kenya, tutawauzia kwa masharti magumu ya kutuachia tufanye tunavyotaka kwenye biashara baina yao na sisi).

Yani hakuna kitu tutawaachia hawa mbwa.
 
LOL! Gotta be the dumbest thing i have read on the internet today but keep going you might out do yourself.

What are you 10 years old. Open a history book or use google for crying out loud. Try reading before making stupid statements
 
Ugua polepole 🤣🤣🤣🤣 puny a$$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…