Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, kabla hata ya Magufuli kuingia madarakani, sikua muumini wa huo mradi tangu enzi za Kikwete.

Bado sioni faida ya mradi wa Bandari ya Bagamoyo kwa Tanzania, nchi yenye Bandari 3, Bandari za Tanga na Dar" are just under 200km apart. Bado Bandari zetu zinao uwezo wa kutumika zaidi ya miaka 70 ijayo bila kuzidiwa.

Mimi sioni umuhimu wowote kwa Sasa kujenga Bandari kubwa kama Bagamoyo badala yake serikali ingejikita zaidi katika kuboresha kilimo na viwanda vidogo vidogo vya kuongeza thamani.
 
Waingereza kutoka 254 njooni mchambue hili dude lenu naona mko na wakubwa wenzenu Mexico [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
So Tanzania mko mbele ya South Africa, Brazil, Argentina, Egypt, Kenya 😂😂😂
 
Haya yote yanasababishwa na nn unajua?
Mnasema SSH hatoshi...miradi yote inaendelezwa,miradi mipya ikiwemo ujenzi wa EMD katika hospital kadhaa zenye wagonjwa wengi ,Kujenga vituo vya afya katika kata ambazo zilibaki,Kujenga nyumba za watumishi wavijijini especially katika vituo vya afya ,housing scheme sambamba na kumalizia miradi iliosimama kama morocco Square, na 711 kule kawe...

Watumishi kupata stahiki zao kama kupanda madaraja,nyongeza za mishahara na kuimarisha mahusiano ya Tz na mataifa mengine...FDI imepanda maradufu tangu achukue kiti....pesa zimerudi mitaani bila kuathiri serikali kutekeleza miradi yake

Mnaosema uyu mama hatoshi toeni sababu zenye mashiko msilete maneno ya kuokota tu.

Jiwe pamoja na uzuri wake pia alikua na kasoro nyingi sana sina haja ya kuzitaja
 
ndo huyu ndugu wenu toka Tanga, yaani alipigwa na butwaa 💣💥💥 kuona venye kisumu kuko 🤣


 
Tunachomlalamikia mama ni
1)Kulegeza/kutokuwepo na udhibiti wa matumizi ya pesa za serikali, viongozi, wanasiasa na wetendaji wengi wanatumia pesa katika safari na mikutano isiyo na tija. Mama amekua ni "role model " wao katika hili, viongozi wameanza kupishana Airports Kama enzi za Kikwete, Haina maana yoyote ya kukusanya pesa nyingi bila kudhibiti matumizi.

Niliwahi kuishi na rafiki yangu muhindi hapo Dar, alikua akiniambia hivi" You know what Joto la jiwe, we Indians do make money, equally you Africans do make money too, the difference is on expenditures, Africans do spend money very very unnecessarly".

Ukweli ni kwamba, uongozi wa SSH hauna nidhamu yoyote katika kudhibiti matumizi ya pesa za umma. Yeye mwenyewe Amekua ni mfano wa hovyo katika hili, watu hawaogopi tena kuchota pesa za umma na wakurugenzi kujinunulia magari ya thamani, Kuna mkurugenzi wa Halmashauri Moja alijinunulia bastola yenye thamani ya Tshs.3M kwa kutumia pesa za Halmashauri.
 
Kuna kitu kinaitwa budget, hauwezi kutumia pesa ambayo haujaiundia budget...na budget za vikao ama warsha hazitakiwi kuzidi budget za maendeleo...
Nakupa mfano mmoja..
Ofisini kwetu kwa mwaka tunabudget ya sh 120M .50% inaenda kwenye dawa na vifaa tiba, kuna 15%ya posho including vikao nk,kuna pesa ya matengenezo na matumizi mengine ya ofisi.

Kwa taarifa tu mi nafahamu wakuu wa idara wanne wameshaliwa vichwa ndani ya utawala wa huyu Pres, ukitaka kuliwa kichwa kirahisi we tumia fedha nje ya utaratibu tu..

Sasa nipe faida za raisi kutokusafiri nje chukulia mfano wa JPM na hasara za raisi kutoka...

Watu tunaitwa calls hatulipwi,tunafanya kazi overtime hatulipwi bahati mbaya sisi wenye night labda wale wanaopiga 8good hours hawawezi kujua haua mambo..Unafanya kazi resources chache na bado watu wanapiga kelele tu,baada sasa ya kuambiwa tuanze kulipwa ndio mnaona ni kitu kigeni au favor?kweli watz bado tupo gizani sana,Huu umaskini wetu ni wa hatari mno

Hauwezi kufanya kazi tu kuna wakati lazima mkasome vitu vipya ama mkutane kama viongozi muelekezane mambo ya muhimu...
 
African CBD, ushuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ushuzi hovel [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…