Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania inaenda kuifunika Kunyaland kwenye sekta ya Horticulture πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-081130.png
    145.8 KB · Views: 26
Dodoma kunazidi kunoga, uzinduzi wa Ujenzi wa nyumba 3500 za TBA πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-130513.png
    304.6 KB · Views: 28
  • Screenshot_20221101-125735.png
    295.6 KB · Views: 23
Kuna watu watanuna wakiona safari za Viongozi πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-125503.png
    202.7 KB · Views: 22
Nairobi metropolitan ni CBD yenu, unataka kusema kile kieneo finyu vile kina watu idadi hiyo? Ndio maana mna slums kila angle
Mbona unabakia zezeta siku zote? you are not improving tangu uingie jamii forums πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ yaani wewe boya kweli, unajua maana ya neno "metropolitan"? so kwa hizi akili zako za vijiweni, hiyo population ya Dar 5.3 million inaishi hapa, kwa haka ka CBD kamoja...,
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ujinga ni laana bana..., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Si mlianza Sabotage, imagine mashine za electronic tickets zilikuwa hazifanyi kazi!
 
Ghorofa zote za wahindi na waarabu hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unajua wamiliki wa hizi buildings za Kenya kweli?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Kenya sio Tz na Dar inayomilikiwa na wahindi na waarabu tupu nyie makapuku weusi hamuna lenyu, ndio wajakazi wao kisha mnarudi manyumbani kwenu uswazi, ata kwa estates hampo sana, kuishi kwa apartment in Tz ni anasa, jiangalie mlivyo #census2020πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania inaenda kuifunika Kunyaland kwenye sekta ya Horticulture πŸ‘‡
Screenshot yako inasema baada ya kuweka juhudi zote hizo, sekta yenu ya horticulture itaweza kuletea nchi yenu kipato cha $700m.... Kenya mwaka jana ilipata kipato cha $1.5 Billion kutoka kwa horticulture ambayo ni mara dufu ya target yenu... Mtatufunika lini?
 
Apo atafute desa lingine ilo limebuma
 
Nyumba nzuri mnapost zote humu ni mali za wenyewe, u guys are just happy to see them in your City 🀣🀣🀣
#census2022.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., Eastlands with vast estates yenye haupati Tanzania nazo ni za wahindi? jinga typeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., hatufanani dogo.., ukweli msio penda umeanikwa, tokea 2020, reports zote kutokea Tanzania na other bodies including your CAG zimewaumbua sana..,mnapenda mijisifa bure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na wewe uko kwa hii kikundi?πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
 

CC
Mali ya Mzungu, sasa ninyi mnamiliki nini huko?
 
Imekuuma wana upgrade nyie mkibakia na uswazi taifa mzima, census imewaumbua vibaya πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kafanye kazi haraka umkusanyie Muhindi kodi yake kabla hajakutimua utoke kwake.
 
Zote hizo za foreigners na mbaya zaidi hata hazina tenants, piga picture haraka urudi kwenye slums kabla security hajajukuta hapo.
 
Na yote hiyo imeingia mfukoni kwa Mzungu, Tanzania yote inaenda kwa mtanzania
 
Hahahaha Yaani taarifa zako unazojengea hoja humu ni comments za watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama ile comment ya wakunya ndio wenye mashamba Tanzania lakini kuyaleta hamuwezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…