Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mim naangalia ishu ya uchaguzi.. kanda ya ziwa na Dar ndo wa kuamua upepo wa mgombea rais 😄..
Next thing, nimeshangaa kutoona 'majiji' ya Arusha na Mbeya kwa list. Kwa mbeya, labda kwa vile imetoa mkoa mwingine wa Songwe.
La kuongezea, dodoma mama etu ana kazi sana, watu hawamuelewi huko dodoma lbda mawaziri
 
naona unajaribu, kuji console kwelikweli..


hivi, nimetumia hii takwimu kama mfano moja tu.

unajua kenya inaizidi tz kwenye kila takwimu kwenye kila sekta. ata hadi mapato kwenye sekta ya kilimo.

heb nioneshe ata ranking moja, tz iko mbele ya kenya.
coz aky walai✋🏽 mi sijaai ona.. na kama iko!.. leta!

mfano moja tu hii👇🏽 ya takwimu zaidi ya mia moja [>+100]
 
 
Lakini pia ukumbuke kuwa mikoa ya Tanzania yenye Idadi kubwa zaidi ya watu ukitoa Dar labda na Mwanza Ndio inayoongoza Kwa umasikini. Trends za higher birth rates kwenye hii mikoa ni kubwa sana lakini maisha ni Magumu pia, welfare iko chini. Sio jambo la kujivunia.
 
Kwenye angle ya kisiasa hakuna huyu mama anapokubalika hata sehemu 1,ni ukweli unavyosema Dodoma ndio hawataki hata kumuona, mikoa ya Lake Zone ipo hapo juu kuanzia Mwanza, Tabora, Geita (Kagera na Mara) hatoboi hata hivyo wenye ccm yao nao hawamwelewi kumbuka fununu za waziri anaeutafuta urais 2025
 
Sasa anaangalia akiona mtu anaanza kushine mahali anamtoa au kumbadilishia kituo au wizara, yaani anawaza uraisi kweli.
Kawatuma kina Kinana, Vice President na Prime Minister kwenda kupima upepo mwanza
 
Sasa anaangalia akiona mtu anaanza kushine mahali anamtoa au kumbadilishia kituo au wizara, yaani anawaza uraisi kweli.
Kawatuma kina Kinana, Vice President na Prime Minister kwenda kupima upepo
Wanamdanganya sana wanaomshauri kwamba anaweza kuwa rais wa kuchaguliwa, hana mvuto hana nyota kabisa huyu mama.
 
Wanamdanganya sana wanaomshauri kwamba anaweza kuwa rais wa kuchaguliwa, hana mvuto hana nyota kabisa huyu mama.

Mama intellectually ni zero!

Walimwaribia kwa kumpanga amponde Magufuli jambo ambalo limwebackfire mno, ukijumlisha na style ya uongozi ya Vijana wa Mjini wakina Makamba na Nape wanavyoharibu, ukicheki Nchemba nae wote hawa wamemvuruga mama kwa mno. Lipo lipo tu na Ushungi wake, ngoja aone come 2025!
 

Hizi statistics ni za idadi ya watu kwenye kila mkoa, sio majiji. Arusha, Shinyanga, Mbeya na Kilimanjaro, ambayo yote iko kwenye top 10 ya mikoa yenye GDP kubwa zaidi, haipo kwenye hii list ya top 10 ya mikoa yenye population kubwa zaidi. Kwa hiyo mikoa Mingi yenye watu wengi Ndio yenye kipato cha chini na yenye ongezeko kubwa zaidi la watu. Sio jambo Zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…