Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Kama tungekuwa wazembe hatungekuja TZ kulima Mahindi tukiwalipa Kodi walazi nyinyi🚮Kila pembe ya kenya failed state kuna njaa nashangaa sana unajificha kwenye kichaka cha ukame wa northern.
Tanzania pekee ndo sehemu mnaweza pata mahindi kwa bei nzuri kondoo wewe.
Abroad wapi mahindi ni cheap?
Tanzania inaongoza kwenye kilimo cha umwagiliaji ukanda huu.
Eti wenye mifugo ndo wanaumia utadhani hatuifahamu hiyo kenya.
Njaa inawalima hadi gatundu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna akili wavivu wazembe ninyi.
Kuna kampuni ya kikenya yenye inamilikiwa na local kenyan yenye Iko na muscles za kushindana na kampuni kubwa za kitanzania zinazomilikiwa na watanzania.? tuanzie hapa kwanzasasa niwe na qualifications za kuongea na watz🇹🇿🚮ata heri ninyamaze😂😂ama niongee na warwanda tunafanyaga nao biashara wako very sharp kuliko nyinyi🚮
Kwamba mnakuja kutulimia.? 🤣🤣, Evidence.?Kama tungekuwa wazembe hatungekuja TZ kulima Mahindi tukiwalipa Kodi walazi nyinyi🚮
Ni venye tu Kenya iko ukame tulikuwa tumetegemea mvua Sana na sasa hakunyeshi!!
Si Mungu tu alete mvua uone Wakenya wakulima pande zote!!we ain't lazy like you🇹🇿🚮
Mwanzo walikua wanabisha kwamba chakula toka Tanzania ndio wanachotegema, baada ya kugundua ukweli, hivi Sasa wanasema wao ndio wanaolima Tanzania na kujiuzia wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]Anasema “wanajipandia mazao kwenye mashamba ya Tanzania halafu wanajiuzia”
Kuficha aibu kuwa Tanzania inawalisha. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama tungekuwa wazembe hatungekuja TZ kulima Mahindi tukiwalipa Kodi walazi nyinyi[emoji706]
Ni venye tu Kenya iko ukame tulikuwa tumetegemea mvua Sana na sasa hakunyeshi!!
Si Mungu tu alete mvua uone Wakenya wakilima pande zote!!we ain't lazy like you[emoji1241][emoji706]
Kumbuka kwa cash crops pia hamtushindi!!!tuko ligi ya India[emoji108]
Mnaweza ona ni jinsi gani tunabishana na matahira mixer wehu humu ndani. Imagine kuitwa lazy with a country which depends on you kwa chakula [emoji1787] Imagine kuitwa lazy na taifa which depends on food donations.. kuna namna nafkiri hawa jamaa tuwaache tu .. wenyewe wanajiita ni hard workers [emoji1787] lakini hawawezi kujilisha 2022 hii, kilimo wanachotegemea ni maua na chai ambacho wanye mashamba yao ni wazungu huko kwao. [emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣 Hoja za kipumbavu kama za huyo jamaa zinachekesha sanaMwanzo walikua wanabisha kwamba chakula toka Tanzania ndio wanachotegema, baada ya kugundua ukweli, hivi Sasa wanasema wao ndio wanaolima Tanzania na kujiuzia wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
- SGR Tanzania kuna TV 3 mwanzoni, katikati na mwishoni, kwenye garimoshi ya Kunyaland hamna TV!
- SGR Tanzania kuna armrest SGR Kunyaland hamna
- SGR Tanzania pia kila seat ina kameza cha kula kwa nyuma ukiacha meza katikati kwa seats zinazoangaliana na pia bottle hanger wakati SGR Kunyaland ina meza katikati tu!
- Madirisha ya coaches za SGR Tanzania yako wide, sealed (meaning ndani full kiyoyozi) na yana modern drop down window shades, SGR Kunyaland kuna pazia la kitambaa!
- SGR Tanzania ina first aid and safety kits enclosed in a shattered glass Kunyaland linyundo la safety kit linaning'inia wakati first aid kit haionekani!
- SGR Tanzania ina automatic transparent glass doors at both ends of the coaches wakati SGR Kunyaland ina manual metal door with window!
vs
MY TAKE
Wakunya wacheni kujidanganya! As far as amenities and comfortability are concerned, SGR Tanzania coaches beat by far SGR Kunyaland coaches!
Imagine kuitwa lazy na watu wenye hawawezi kuokota takataka walizotupa 🤣🤣. Vitu vyaajabu kweliHawawezi hata kuzoa taka walipotupa[emoji23]
Hahahaha. Tanzania balance of trade within EAC is only $500M in favor of Tanzania, while that of SADC is over $1.3B. Hiyo inakuonyesha ni jinsi gani Tanzania hatutegemei soko la EAC.ivi ndivyo mnajidanganya eti mkifunga border Kenya Ina filisika[emoji23]kwani ni Mara ya kwanza kufunga!!!
Alafu hao SADC kwani hujui jinsi wanatuongeaga mazuri ya Kenya??kuliko nyinyi kuuza bangi na ugaidi kwa Nchi za SADC!!
Najua pia SADC huomba sana Kenya iungane na SADC[emoji857]sababu sisi na biashara ni[emoji91]
Ebu jua kuwa mkifunga border mtajiumiza nyie wenyewe!!kwasababu mukulima hauziagi mazao yake kwa mkulima mwingine!!!
Sisi Kenya tunakuzaga Cash crops and Manufacturing kwa wingi,pia Banking sisi ni King of EAC[emoji108]
Siku hizi tunahamisha mabiashara upande wa North Kenya where markets are available na Kuna watu wengi sana[emoji2]
Mpaka Somalia enda uone jinsi pia companies zinamilikiwa na Wakenya!!!mpaka Somali Land!![emoji108]
Safaricom,Equity na KCB pia tumepeleka huko North na naskia Safaricom inakuwa kwa Kasi Ethiopia
Nyinyi eti sasa Mnaona reli ya SADC ambayo itashughulikia Upande wa Tourism pekee eti ndio mkafunga bao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani hujiulizi na mlivyokaribia izo SADC countries mbona Nchi Kama Rwanda,DRC,Uganda na Burundi wanaipendelea Mombasa port sana???
Lazy heads!![emoji706]
Hahahaha, hao DRC wenyewe hutegemea Tanzania kwa chakula, wacha kutapatapa, mara mnasema mnajipandia chakula Tanzania, mara DRC, mara mtaita Egyptians wawafundishe drops irrigation. Ina maana Hadi Sasa hamjui kufanya drops irrigations?, Kweli ninyi ni failed statekwani and we profit equal with your people imagine[emoji857]lazy minds!!
Na mkikataa Basi pia Kuna other countries too,pia DRC tumemeesha Mahindi in 1000s Hector's of Lands na wanafurahia sababu tunakuza uchumi wao tunalipa wenye shamba pia and tax!!!
Pia mkiringa na Shamba zenu pia sisi Kenya tuko na mashamba[emoji12]tunaweza ita Egypt watufunze Canal irrigation!!!sababu highland zetu tumepanda Cash crops and we are thee best in Afrika!!![emoji108]interms of Cash crops KE competes with big countries Like India and Brazil!!![emoji91]
Halafu kwetu kuna kitu una-press button! Nangoja vyoo nifanye comparison! 🤣🤣Kwamba Kundustan SGR dirisha lina pazia linapepea kama kwenye Getho la msela Uswahilini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza kulalamika, Ukame wa Kenya hauzidi ule wa Egypt, mbona wao wamewekeza katika irrigation na hawana tatizo la njaa?, Ninyi ni wazembe sanafirst thing we are not lazy ata watu wenu wanajua jinsi biashara na Kenyans ni hivi[emoji1696][emoji857]ogopa!!!
Then sio sisi tumeleta ukame it's Climate change na Northern Kenya wanadepend in Pastoralism kulea mifugo na sai mifugo zao washakufa wengi sababu ya ukame!!
Sasa wamesema wanataka kuingilia kilimo na serikali itawasaidia[emoji108]
ebu imagine Kama Kenya tunacompete na Kina India interms of cash cash imagine tukibadilisha pastoralists wa Kenya wawe wakulima Kama tutashikikaga[emoji23]
Tz is a green country and lots of nutural resources yet hakuna Kitu munafanya ya maana[emoji706][emoji706][emoji706]lazy minds[emoji23]
Sasa kwanini msiende kununua hivi Sasa ili kuokoa maisha ya wakenya wanaoendelea kufa kwa njaa??.nimekuambia we only planted cash crops and kufuga mifugo only[emoji108]wenye mifugo ndio wanaumia Sana kwa ukame!!mifugo yao imekufa
Alafu kwani ni sisi tumeleta ukame ama ni climate change???
Alafu mkikosa kutuuzia Mahindi tutanua kwengine[emoji23]even more cheaper kwasababu uko abroad Mahindi ni chakula ya ngombe na farasi[emoji108]na wanaweza penda Sana tununue Mexico!
Halafu kwetu kuna kitu una-press button! Nangoja vyoo nifanye comparison! [emoji1787][emoji1787]
Hawa kamwe hutosikia wakilalamika kuhusu Ukame, ninyi ni wazembe sanaKama tungekuwa wazembe hatungekuja TZ kulima Mahindi tukiwalipa Kodi walazi nyinyi[emoji706]
Ni venye tu Kenya iko ukame tulikuwa tumetegemea mvua Sana na sasa hakunyeshi!!
Si Mungu tu alete mvua uone Wakenya wakilima pande zote!!we ain't lazy like you[emoji1241][emoji706]
Kumbuka kwa cash crops pia hamtushindi!!!tuko ligi ya India[emoji108]
Mnakuja wapi kulima? 😂😂😂😂Kama tungekuwa wazembe hatungekuja TZ kulima Mahindi tukiwalipa Kodi walazi nyinyi🚮
Ni venye tu Kenya iko ukame tulikuwa tumetegemea mvua Sana na sasa hakunyeshi!!
Si Mungu tu alete mvua uone Wakenya wakilima pande zote!!we ain't lazy like you🇹🇿🚮
Kumbuka kwa cash crops pia hamtushindi!!!tuko ligi ya India👌
Sijui Wakunya wanajionaje Yaani 😂😂😂😂 kwa kipi mkunya anacho cha ziada kwenye kilimo ambacho mtanzania hana?Unaweza leta hilo shamba la mkenya ndani ya Ardhi ya Tz .?
Kwanini mnapendaga kujipendekeza kwenye nchi za mbali sana? 😂😂 Kwanini your sister country isiwe Somalia sudan Ethiopia Uganda huko kwanini mnapenda kujihusisha na nchi msioendana nazo? Utashangaa mnalazimisha uhusiano na DRC nchi ilio masafa mbali na ninyisasa niwe na qualifications za kuongea na watz🇹🇿🚮ata heri ninyamaze😂😂ama niongee na warwanda tunafanyaga nao biashara wako very sharp kuliko nyinyi🚮