chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Hahahahaaa unaweka picha alafu unaogopa mwenyewe, hapo panaitwa kariakoo, moja kati ya maeneo machache Africa yenye ghorofa nyingi zaidi. Hapo kuna ghorofa zaidi ya 1000 na zingine zimejengwa na bado zingine zinaendelea kujengwa, ikiletwa picha mpya ya kariakoo nadhani kutakuwa kuna ghorofa zingine nusu ya hizo zimeshajengwa na hatuiiti CBD kama nyie vighorofa viwili tayari CBD.Hakuna kitu Dar mrogi.., nyie u have one single CBD., mengine ni levels za Eastleigh, ata hiyo Eastleigh imepanda bei sana, ama na hii pia eti ni CBD? nyumba za waarabu na wahindi town centre[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].., stone age city, nyambaff[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., Kabul Afghanistan..,
View attachment 2397295
Unataka kufananisha kariakoo na huu uchafu[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna kitu Dar mrogi.., nyie u have one single CBD., mengine ni levels za Eastleigh, ata hiyo Eastleigh imepanda bei sana, ama na hii pia eti ni CBD? nyumba za waarabu na wahindi town centre[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].., stone age city, nyambaff[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., Kabul Afghanistan..,
View attachment 2397295
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hivo Westlands na Upperhill zina gorofa tatu? Wewe una wazimu? [emoji1787] [emoji1787]
Dar es Salaam iko na a bigger town coverage area kuliko Malawi ya CBD moja kaka, haupati picha wewe, .., πππππππHahahahaaa unaweka picha alafu unaogopa mwenyewe, hapo panaitwa kariakoo, moja kati ya maeneo machache Africa yenye ghorofa nyingi zaidi. Hapo kuna ghorofa zaidi ya 1000 na zingine zimejengwa na bado zingine zinaendelea kujengwa, ikiletwa picha mpya ya kariakoo nadhani kutakuwa kuna ghorofa zingine nusu ya hizo zimeshajengwa na hatuiiti CBD kama nyie vighorofa viwili tayari CBD.
Nyingine hii hapa, ramba dawa kdg[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2397458View attachment 2397463
Picha ya mwaka gani hii?Acha upumbavu wewe nchi yako ni shithole, bandits wanawaua kdf in thousands every day halafu unasema nini hapa? View attachment 2397429
Duh picha za zamani kwelikweli, umeweka mpk bonde la mto msimbazi ambalo nyumba zimeshabomolewa kupisha ujenzi wa kihistoria, kuhusu BRT isikuume sn hata ulaya watu wanasimama cz ni usafiri wa fasta ushafika home, hiyo siyo matatu hiyo mnanukishana vikwapa na hamfiki kwa wakati, najua nyie ni washamba wa BRT system [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio Dar ni Malawi basi.., wacha tusingizie malawi msife kwa maumivu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , let's go with Malawi, wao hawana tatizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Malawi
View attachment 2397401
View attachment 2397399
View attachment 2397394
View attachment 2397395
View attachment 2397396
View attachment 2397398
View attachment 2397400
Wamechoka wahurumie bana, hawana lolote la maana so far, just have fun baby galπππππππππPicha ya mwaka gani hii?
Last monthPicha ya mwaka gani hii?
Anaweka picha za enzi za Mkapa, FYI no plastic waste in Tz as we speak [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Taifa la Malawi.., duh, bado wako porini hawa Malawi, watanzania njooni muone Malawi jirani zenu, hawana slums ni mitaa ya kawaida kama "Eastlands" kule Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2397410
View attachment 2397423
View attachment 2397421
View attachment 2397411
View attachment 2397412
View attachment 2397413
View attachment 2397414
View attachment 2397418
View attachment 2397422
Kwani wewe haujui Malawi eti? Malawi wako nyuma sana, slum hawana ata moja ila duh.., ππππππππDuh picha za zamani kwelikweli, umeweka mpk bonde la mto msimbazi ambalo nyumba zimeshabomolewa kupisha ujenzi wa kihistoria, kuhusu BRT isikuume sn hata ulaya watu wanasimama cz ni usafiri wa fasta ushafika home, hiyo siyo matatu hiyo mnanukishana vikwapa na hamfiki kwa wakati, najua nyie ni washamba wa BRT system [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2397478View attachment 2397480View attachment 2397482
Kawaulize kdf [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Picha ya mwaka gani hii?