Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kenya, 90% ya wote hao 15 ni wanasiasa sababu ya corruption
Kwa Tanzania, hao 8 mnaweza kuhisi ni nan na nan hao wenye utajir zaid ya 233b Tshs
Kunyaland hiihii walikuwa wanapiga njuru Kirubi ni US$ billionare akakufa akakutwa na $200 mln kwa Bank!
 
Kunyaland hiihii walikuwa wanapiga njuru Kirubi ni US$ billionare akakufa akakutwa na $200 mln kwa Bank!
abit of language correction here👇🏽 dude......

sio eti "akakufa" bali ungesema "akafa"

kwani wee ni mbongo wa pembe gani? chitoholi ama?🤔

Nb:
everyone knew Chris kirubi was worth $300m up until his demise..
nobody here, ever said kirubi was a dollar billionare! non at all..
 
Forbes yenyewe in 2011, but around his demise, he was about $0.5B






👇🏽👇🏽
 
Karen: You won't find this leafy, wealthy, modern environment in any other city outside Nairobi and SA in Africa.

 
Kigoma na Tabora wana matatizo gan kuhusiana na miundombinu ya umeme? Au ndo hawapend maendeleo mpk inafika wengine wanarogana [emoji3]
Hawa ni watu wa hovyo sana,Apo ukute wamemind kwann mmewaunganisha na umeme
 
Katiba mpya Kenya imewajibishaje viongozi?, Unasikia uongozi mpya unavyolalamikia madudu yaliyofanywa na uongozi wa Uhuru Kenyatta, he katiba mpya haikuwepo?
Iyo ni katiba yao sisi yetu tunataka nao wawajibike wakifanya tofauti na utaratibu
 
Can you show us we what KDF has interms of surface to air missiles?[emoji23][emoji23][emoji23]
American MLRS M142 Himars, masera wangu. Hizi ndo inampa putin sleepless nights kila kukicha🥵🥵.. yaani 100% precision accuracy!

Made In USA.. a Nato Armoured Vehicle..
Ukraine War Model, Himars Self Propelled Armoured Vehicle 👇🏽

American MLRS M142 Himars Armoured Vehicle in action in the current ukraine-russian wars, mchizi wangu👇🏽



a Nato Model, German Tanks hapa👇🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…