Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

look wakenya mjue kutofautisha kati ya X na kuzidisha kati ya TZ airport na kunyani hahahaha angalia apo kitu ni safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mno na kisasa sanaaaaaaaaa
 
Anawaza rushwa tu kutoka kwa wagonjwa, sasa nimeelewa kwa nini huwa ana chuki na aliyepita
 
Hivi sababu zipi zilifanya tender ya brt phase 2 wasipewe tena strabag kutokana na kazi nzuri waliyoionyesha kwenye phase 1?

Serikali ikitangaza tender, atakayeshinda tender ni yule wa gharama ya chini.
Nina supportive documents baadhi hapa ila maadili ya kazi hayaniruhusu kupost.

Mfano tender ikitangazwa halafu;
Kampuni A gharama za kujenga = 500
Kampuni B gharama za kujenga = 450
Kampuni C gharama za kujenga = 650

Atakayeshinda tender na kupewa ni Kampuni B.
 
Ila anayepewa tender anafungwa specifications za mteja ikiwemo standards zinazohitajika! Hii kampuni inafanya economic sabotage!
 
Ila anayepewa tender anafungwa specifications za mteja ikiwemo standards zinazohitajika! Hii kampuni inafanya economic sabotage!
Walio wapa tender karibu wote hawapo,lakini BRT phase I ni standard zaidi japo nayo ilichukua muda mrefu.Shida nyingine Toka kwa strabarg ni kuwa wamekua na vitendea nje ya mkataba wanawapa material watu wenye ujenzi mwingine kwenye majengo,na wale wa tender za Tarura hivi navyo vinaongeza muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…