Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We nae wachaga aibu ndogo ndogo kama hizi, unawezaje kulinganisha kifo na uhai au mchana na usiku au mbingu na ardhi.
wacha kujipotezea ufahamu.., ukweli uko wazi bana.., u have a manicured godown for airport.., banda la kuku lililo wekwa make-ups., one line, huwezi linganisha na JIKA which is a complex kilaza..,
 
Unajaribu kupotosha eti, yaani umechukua picha ya umbali sana but a complex it is., mbona tuandike kwa mate na wino upo..,
JNIA.., banda la kuku.. utadhani ni maduka kwa street.., ka terminal kamoja kanawapea kiwewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


VS
JKIA complex.., a town..


 
Hutakiwi kumjibu mtu anayetaka kumlinganisha Magufuli na upuuzi anaitwa Samia... hadi 2025 hakuna Kitu kipya samia atakuwa amefanya.
We unamatatizo ya akili,Au unaishi nje ya Tz,ni ujinga kukaa hapa kulazimisha JPM afanane na SSH ...Haiwezekani wakafanana
 
Wacha tuichambue by zooming hiyo picha yako..,
Yaani kama town inside JKIA.,.
View attachment 2389783
Terminals kwa umbali..,
View attachment 2389784
Usipoteze muda kwa sasa kufananisha hilo gofu lenu na JNIA yani acahana na hii mada bro ndio maana wenzako hawana hata time na nguvu yakulizungumzia πŸ˜‚πŸ˜‚

Nisamehe kama nimekukera πŸ˜…πŸ˜…
 
Usipoteze muda kwa sasa kufananisha hilo gofu lenu na JNIA yani acahana na hii mada bro ndio maana wenzako hawana hata time na nguvu yakulizungumzia [emoji23][emoji23]

Nisamehe kama nimekukera [emoji28][emoji28]
Hio terminal yenyu moja compare na cargo center ya jkia msee[emoji1787]
 
Usipoteze muda kwa sasa kufananisha hilo gofu lenu na JNIA yani acahana na hii mada bro ndio maana wenzako hawana hata time na nguvu yakulizungumzia πŸ˜‚πŸ˜‚

Nisamehe kama nimekukera πŸ˜…πŸ˜…
Wewe mwana mpotevu tunawajua sana, ukweli mchungu hamuwezi kukubali kivyovyote vile πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wakenya humu wanawajua kwa domo domo, dawa yenu ni facts, kila mtu ajionee, kazi ya google earth humu ni kuwaumbua right, left and centre.. unaongea maneno mengi tunadhibitisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nipo bana sema kazi kidogo zilinibana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…