Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najaribu kuwaza na kamasters kako unaenda kufanya kazi chato...Apo ukishatoka kazini unaenda wapi?mji uko wap apo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
Nilikua nakuona mtu wa maana ila hapa nimekuvua nyota, natamani Hosp kama hii ziendelee kujengwa maeneo ya Vijijini kufikia Watz wasio na uwezo wa kusafiri mbali, ikiwezekana kusiwe na Hsp moja ya Taifa ziwepo hata 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…