The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Keshapanic maskini ya Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya sio Tanzania, hatushindwi, tutalipa tu.., tuko hapa sote, watch how the game is played..,
Uyo roho yake mby ilianza kipindi kile tunaanza kuwa overtake ila kwa sasa anatamani kulia baada ya kuwapita vby [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uko na kinyongo sana na Tz mzee
na pesa za Raila akanunua ndege pia😂😂😂pia harmonize alipiga show Kenya akanunulia mamake gari!Diamond platnumz amenunua nyumba Jozy SA .. boonge la mjengo 👇. Don YF ona vile wasanii wanafanikiwa Tz
Kenya sio Tanzania, hatushindwi, tutalipa tu.., tuko hapa sote, watch how the game is played..,
🤣🤣🤣 Kuna msanii hapo kenya mwenye pesa kumkaribia Diamond.? Hao wasanii wenu ni takataka tuna pesa za Raila akanunua ndege pia😂😂😂pia harmonize alipiga show Kenya akanunulia mamake gari!
Sisi waKenya tulishakwenda kwa Acting overseas!!!
#Lupita Nyongo😜Black Panther🔥🔥
Pia kwa wasanii angalia Victoria Kimani sjui uko Ghana kameteka yote Ghana👌
Unamjua Kaligraph Jones???anapambana mpaka na akina Snoopy na 50cents💪
Na Akothee ananunua Darislum yote!!!!!
Pia wasanii wetu Kenya wamefanikiwa😁
nimeshakutajia wengi hapo juu wacha nikuongezee mwengine "Jaguar"👈ananunua Darislum yote🤣🤣🤣 Kuna msanii hapo kenya mwenye pesa kumkaribia Diamond.? Hao wasanii wenu ni takataka tu
Waliofunga hizo nyaya za umeme ni walevi...na vichaa pia
Hayo ma spider web yanaharibu sn aisee.