Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,595
Itakua safi sana,wangetoa terminal kama schiphol ingekua poa sanaUsimalize maneno, ukarabati wa Terminal 2 unaanza soon na Wafaransa walisema watatoa kitu Terminal 3 itasubiri…….sasa tulia, kutangulia si kufika au mmesahau kwenye reli?😅
Nairobi 😍🤩 And still kuna a similar skyline from Westlands to Kilimani. Enyewe Nairobi is top tier in Africa.
Hizi pesa zinakuwa approved ni nyingi, mara kibao nmesikia pesa zmekuwa approved lkn impact haionekani aisee, kweli uongozi ni karama.
Kwamba zinabadilishwa matumizi auHizi pesa zinakuwa approved ni nyingi, mara kibao nmesikia pesa zmekuwa approved lkn impact haionekani aisee, kweli uongozi ni karama.
Huwezi bishana na ukweli kwamba. Airport yetu terminal 3 ni modern kuliko takataka zote hapa EA na hiyo record tutaivunja wewenyewe after we gon have Msalato airport done in DODOMAHivi Dar es Salaam kuna modern cargo terminal? Naomba watupe picha tuione maanake wanashinda humu eti airport yao ni modern.
Huyu mama anakopa sana, dah!
Ana degree ya nn kwan mama etu maana cjawai jua ...msaada kwa anaejua jamnHuyu mama anakopa sana, dah!
Ndio athari za kuwa na rais aliye fail shule na kurudi RUDIA!
Mbona unalazimisha that godown to be in the same level with the mighty JKIA and Bole? JNIA will take years to get to where JKIA is currently.Huwezi bishana na ukweli kwamba. Airport yetu terminal 3 ni modern kuliko takataka zote hapa EA na hiyo record tutaivunja wewenyewe after we gon have Msalato airport done in DODOMA
It is more modern than this...........
Yah zinaingia mfukoni.Kwamba zinabadilishwa matumizi au
Nambie mnuka mavi.
Jengeni Soko la maana kama hili tutii.This one is being modernized , with some serious money being invested, wait for the fine-tuned end product that will shock your eyes.