chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Hawa ndio financiers, kunyaland haina huo uwezo wa kununua chakulaSiku HE Samia Suluhu Hassan afanye huu upumbav! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana hata aibu kidogo.
Gari za Mahindi znaingia had state House??? Y wasipeleke kimyaa kimya naona ka wanajiaibisha aseee ....ujinga mzgo[emoji23][emoji23]Siku HE Samia Suluhu Hassan afanye huu upumbav! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana hata aibu kidogo.
In late 2022, so called a country with the biggest economy in East Africa bado inaendelea kuwa nchi yenye njaa. Sad but its funny 😂Siku HE Samia Suluhu Hassan afanye huu upumbav! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana hata aibu kidogo.
Hicho Kikenya kimenichekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza, sa100 anatakiwa aseme usipolima serikali haitawaletea chakula!
Pili, kuhusiana na hizo pics, ingekuwa bongo.. ungesikia mkunya anasema.. We feed these lazy fools, cause all those foods are coming from Kenya. [emoji2]
Wa kwanza kusema hivyo angekuwa DON YF [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwanza, sa100 anatakiwa aseme usipolima serikali haitawaletea chakula!
Pili, kuhusiana na hizo pics, ingekuwa bongo.. ungesikia mkunya anasema.. We feed these lazy fools, cause all those foods are coming from Kenya. [emoji2]
You need to acknowledge that, "whatever you are doing now" most of what you post on here, you post them for fun.Just accept that whatever you are doing now Kenya did it long time ago.
Siku HE Samia Suluhu Hassan afanye huu upumbav! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana hata aibu kidogo.
Kwanza, sa100 anatakiwa aseme usipolima serikali haitawaletea chakula!
Pili, kuhusiana na hizo pics, ingekuwa bongo.. ungesikia mkunya anasema.. We feed these lazy fools, cause all those foods are coming from Kenya. [emoji2]
Hapo alienda maana husler yupo pembeni... Vinginevyo mama's boy hawezi kwenda nje ya gatundu na nairob
hivi, nyinyi waTz, hua mnapata aje taarifa za kikenya.. na hamna ktn, ntv ama citizen huko.
I second you,Hata mimi nmeona hii ni habari njema sanaKuwasha tu kusikiliza taarifa ya habar, nakutana na hiiView attachment 2369061View attachment 2369062
Mpaka Japan tunaihudumia ama kweli Watanzania ni wachapa kazi, mazao ya chakula tu tunayozalisha ni mengi kupindukia lakini mpaka kwenye cash crops na penyewe tumeteka!Kunyaland hatuwahudumii ninyi tu, tuna majukumu lukuki ya kikanda, tumebebeshwa mzigo wa lishe ya almost nusu ya Bara la Africa, ninyi kuhudumia matumbo yenu machache tu japo hata kwa 30% kunawashinda 🚮🚮🚮