Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,207
- 35,588
Endelea kulia. Nyinyi watanzania mtabaki kudhani you are well off kumbe nyinyi ndio backwards kuliko wote in this world.
Lagos BRT.
View attachment 2368084View attachment 2368085View attachment 2368087View attachment 2368088
Hakuna jengo la maana wakenya wamefanikiwa kujenga zaidi ya hivyo vigorofa vya tope, majengo mengine yote ni wageni wakati Tanzania ghorofa 90% zinajengwa na WatanzaniaSiku ikitokea tetemeko kenya, itabaki miundombinu iliyojengwa na foreigners tu kama wachina nk.
Hahahaha acha matani nanii, mtoe wapi forest ninyi? Kwanza Kenya woodland ni 5% tu wakati Tanzania ni zaidi ya 60% sasa mnakuaje na biggest forest wakati hata Rwanda wamewazidi? Halafu mnakuaje na source ya ziwa ambalo mnalo kwa only 12% wakati 53% ya Victoria lipo Tanzania?The biggest forest in east Africa is MAU FOREST.
THE source of lake Victoria waters,
River mara,nyangores,amalo,kuja,nyando,sondu, etc minus nzoia,yala etc
Wewe jamaa hiyo chang'aa unayokunywa inakufanya ubongo wako uwe unatoa funza!Hamtegemei watu kutoka nje wakati uchumi wenu umeshikwa na wakenya?
Yaani toka uhuru ameingia madarakani mpaka ametoka hajawahi kukanyaga pokot na counties nyingine za pembeni sababu ya Usalama mdogo, imagine rais wa nchi hawezi kufika kwenye 35% ya nchi yake sababu eneo hilo haliiheshimu serikali halafu wanakuja kujilinganisha na TanzaniaMi nauhakika kajeshi ka kenya hawawez kubattle na bwana mdogo kagame..bure kabsa
I'm not mad when I say Kenyans control Tanzanian economy.Wewe jamaa hiyo chang'aa unayokunywa inakufanya ubongo wako uwe unatoa funza!
Sometimes lying need reasoning. Huyu hapa in Pokot ni Magufuli ?Yaani toka uhuru ameingia madarakani mpaka ametoka hajawahi kukanyaga pokot na counties nyingine za pembeni sababu ya Usalama mdogo, imagine rais wa nchi hawezi kufika kwenye 35% ya nchi yake sababu eneo hilo haliiheshimu serikali halafu wanakuja kujilinganisha na Tanzania
Onesha ushahidi usilete porojo 35% ya kunyaland haitawaliki, failed state
More pictures of Magufuli in Pokot.Yaani toka uhuru ameingia madarakani mpaka ametoka hajawahi kukanyaga pokot na counties nyingine za pembeni sababu ya Usalama mdogo, imagine rais wa nchi hawezi kufika kwenye 35% ya nchi yake sababu eneo hilo haliiheshimu serikali halafu wanakuja kujilinganisha na Tanzania
Hapo sio pokot
Unaumwa Mavi wewe, hebu anzisha battle ya misitu minene alafu uone, ukanda huu tunazidiwa na Congo tu co ushuzi mwingine.The biggest forest in east Africa is MAU FOREST.
THE source of lake Victoria waters,
River mara,nyangores,amalo,kuja,nyando,sondu, etc minus nzoia,yala etc
Which other ushahidi do you need apart from pictures?Onesha ushahidi usilete porojo 35% ya kunyaland haitawaliki, failed state
Kwani unajua Kenya kutuliko? Haya ebu tuambie hapo ni wapi.Hapo sio pokot
Kwahiyo nikipiga pictures na wamasai newyork ina maanisha nipo umasaini?Which other ushahidi do you need apart from pictures?
Tuna overpass nyingi sana kwa ss.
Hao sio wamaasai.Kwahiyo nikipiga pictures na wamasai newyork ina maanisha nipo umasaini?
Overpass mbili ni nyingi?🤣🤣🤣Tuna overpass nyingi sana kwa ss.