Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

S/Sudan wameamua rasmi kuidamp Kunyaland kwa sababu za unafiki
 

Attachments

  • Screenshot_20220923-080513.png
    111.8 KB · Views: 22
Wakati Kunyaland ina struggle ,Tanzania mambo ni bam bam πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220923-081332.png
    107.8 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220922-082005.png
    91.9 KB · Views: 26
Safi Sana ,wanawake wa Tanzania wanazidi ku excel kwenye viwango vya juu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220923-101047.png
    67.7 KB · Views: 25
Ni kweli serikali imeingia mkataba na Toyota hata hizi gari serikali inanunua kwa bei rahisi sana lakini 10% hawakosekani kitengo cha procurement
 
Unakuwanga illiterate lakini unaopenda kukazana na vitu za watu wamesoma.
 
I know reasons behind it, ila nitaitwa hater[emoji3]..
but i think its obvious reason(s).. anyone anaefatilia hili suala la SGR atazijua[emoji3]
Acha bwana. Naomba unidokezee kidogo mkuu nitoe tongo tongo [emoji16][emoji16]
 
Msiseme sijawaambia Mombasa huko gari la unga limepata ajari. Tuwahi unga kesho gari la githeri nalo litapata ajali at same place
Your browser is not able to display this video.
 
Na wewe ata kama umeandika porojo, tuseme ikue ukweli, unajua hiyo 8 ni ngapi in Tshs? kwa vile tunakusanya zaidi ya mara mbili ya yale mnao kusanya kilaza, na Kenya ni ndogo kwa Tanzania na watu ni wachache difference ya 10 million ukilinganisha, so do the maths..,
 
Safi Sana ,wanawake wa Tanzania wanazidi ku excel kwenye viwango vya juu πŸ‘‡
Nilidhani ni position in a multi-national, yaani a global entity kumbe ni village airport, fanya utafiti kwanza kabla ya kujigamba 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Usiongee usichojua bwana kivevele [emoji28]
Au hio jan 2023 mtatumia umeme gan kama hakuna umeme kwa sasa
Eti Kivevele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilidhani ni position in a multi-national, yaani a global entity kumbe ni village airport, fanya utafiti kwanza kabla ya kujigamba 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
KIA sio Kisumu we tumbili wa Maasai Mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…