joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hawa wazanzibar waache unafiki, kwani hao watalii wameoa wazanzibar au ni wenyewe kwa wenyewe?. Hao wamefanya hicho kitendo katika maeneo ya utalii, ambako wanaruhusu shughuli za kitalii zisichanganyike na Mila zao, mbona wanaruhusu wanawake kuvaa na kutembea na nguo za kuogelea katika hayo maeneo?
MY TAKE
Huu ni mtego media zote za Kimagharibi zimetega kuskia hatua gani zitachukuliwa na kuanza kampeni za kutibua utalii! Hawa watu ni wapuuzi sana!
huu ni mtego babu! wee subiria the Mirror itakavyoshupalia hii issue!Hawa wazanzibar waache unafiki, kwani hao watalii wameoa wazanzibar au ni wenyewe kwa wenyewe?. Hao wamefanya hicho kitendo katika maeneo ya utalii, ambako wanaruhisu shughuli za kitalii zisichanganyike na Mila zao, mbona wanaruhisu wanawake kuvaa na kutembea na nguo za kuogelea katika hayo maeneo?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Miradi Tanzania inayokopea unaijua lakini? Miradi mikubwa ya akili ambayo hamtokaa mjenge mpaka dunia inaisha, sio ninyi mnakopa kutoa subsidy ya unga 😅😅😅Kwani Tanzania ndio haikopi?
This is too low from you, an African. Kwann watu wa dizain hii hawafanyi hiv vitu uarabu?Hawa wazanzibar waache unafiki, kwani hao watalii wameoa wazanzibar au ni wenyewe kwa wenyewe?. Hao wamefanya hicho kitendo katika maeneo ya utalii, ambako wanaruhisu shughuli za kitalii zisichanganyike na Mila zao, mbona wanaruhisu wanawake kuvaa na kutembea na nguo za kuogelea katika hayo maeneo?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Husler unaweza kuta kaweka kimkeka cha kulalia. Popote kambi
Mbona hawa TRC wanafanya kazi kwa kubahatisha? Mtu ambaye ni mtaalamu/mahiri na kazi yake hawezi kuwa wa kubashiri bashiri kila wakati, kuna namna hapa siyo bure!!Hehe
Kweli wanyamaze mpaka watakapokuwa na uhakika wa treni kuaza kazi. Inaonyesha wanafanya kazi wasiyoielewa.Kila wakitangaza wanasogeza mbele miezi ikifika wanaanza excuse, wanyamaze
Upumbavu mtupu, wanaume hawa hapa [emoji116][emoji116]Kenyan schools are rapping people in Arusha at the ongoing East African games[emoji23]
Football Boys Finals
Highway School from Kenya
View attachment 2364687
Volleyball Girls Finals
Kesogon girls Vs Kwanthanze girls. All are from Kenya.
View attachment 2364692View attachment 2364724
Football ladies Final
Wiyieta Girls, Kenya
View attachment 2364744
Rugby 7's Boys Champions
Koyonzo Boys High School, Kenya
View attachment 2364746
Volleyball Boys Finals
Cheptil Boys, Kenya.
View attachment 2364757
Club ya kenya apo siooni etyUpumbavu mtupu, wanaume hawa hapa [emoji116][emoji116]View attachment 2365111
Huyo ana agenda si bure. Kuna siku humu ndani alikuwa anatetea GMO.This is too low from you, an African. Kwann watu wa dizain hii hawafanyi hiv vitu uarabu?
Wazanzibar Wana matatizo Sana, wanakataza makampuni yanayouza "alcohol" kudhamini ligi ya Mpira wa miguu lakini wanaruhusu hivyo vinywaji kuuzwa Zanzibar, yaani kunywa, kuuza alcohol inaruhusiwa lakini matangazo hayaruhusiwi, huo Si unafiki?, wacha waonje kibano.huu ni mtego babu! wee subiria the Mirror itakavyoshupalia hii issue!
Kwahiyo Uarabuni kwako ndio SI unit?. Uarabuni hakuna uchaguzi, wanawake hawaruhusiwi kuendesha hata gari, wanawake hawaruhusiwi kupiga kura, unataka tuige demokrasia ya waarabu?, "Are you really serious?"This is too low from you, an African. Kwann watu wa dizain hii hawafanyi hiv vitu uarabu?
Kama bado hata hili bado ni shida kulielewa, ninaanza kutilia mashaka uwezo wako wa akiliHuyo ana agenda si bure. Kuna siku humu ndani alikuwa anatetea GMO.