joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Wachana na huyo mbwaWhat's the difference between New York and Washington DC?
https://www.facebook.com/Em nione site 😅😅
And Tanzania still lags behind Kenya and Uganda when it comes to markets.Sisi huwa nguvu zetu tunazielekeza kwenye masoko ambapo wananchi wengi wanajiajiri na kuzalisha ajira kwa watanzania wengine, ll
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Washington DC is an administrative city.What's the difference between New York and Washington DC?
Mimi nashauri hii Phase 3 waanze kuipiga kuanzia TAZARA kuelekea downtown na kwa vile Mkandarasi ni huyo huyo wa Phase 2 ni rahisi kwa mobilization lakini mostly important wanalize kero city centre mapema kwa kuunganisha hizo phase zote 2 kwa mara moja.Hili dude limeanza kazi hapo karibu na kwa mfugale, naona ni site Clearance.
View attachment 2363074
safi👍🏽.. othrws Nyanza kwetu is the province encompassing the lake victoria region.. 🤔Nyanza
Proud of Kenya..tushaanza kutengeneza body za marcopolo...pole pole tunapanda...
View attachment 2363550
Nyanza imekaa poasafi👍🏽.. othrws Nyanza kwetu is the province encompassing the lake victoria region.. 🤔
Did you know that Tanzania Ports Authority buy their boats from Mombasa?Najivunia Tanzania siku zote tuna tengeneza meli kubwa na vivuko na boats na tulisha anza kitambo sana... usitutishie izo buses za kugonga na nyundo..
kwanza waga mko na ship yard kweli ya kutengeneza meli..nikisema ship yard usinitajie vile vidimbwi zenu..yaani certified ship yard.Najivunia Tanzania siku zote tuna tengeneza meli kubwa na vivuko na boats na tulisha anza kitambo sana... usitutishie izo buses za kugonga na nyundo..
Najivunia Tanzania siku zote tuna tengeneza meli kubwa na vivuko na boats na tulisha anza kitambo sana... usitutishie izo buses za kugonga na nyundo..
I like Kenyan vehicle assembling industries have moved beyond the borders.Proud of Kenya..tushaanza kutengeneza body za marcopolo...pole pole tunapanda...
View attachment 2363550