Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Beggars Republic. And then they wonder why Kenya is the biggest source of remittance to Tanzania in Africa.

 
Tanzanians fight tooth and nail just to come to Kenya. Even if it's going to results into their death. Kenyan prisons are filled with Tanzanians and Nigerians.

 
Hata kama kuipenda jamiiforums ila wewe unahitaji zawadi kwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
VISIT TANZANJA ...
msimu huu lazima tukiamshe..
Simba, Yanga na Azam..
i pray for them all to qualify to group stages
I like the fact thay, they have started using kiswahili whenever they post football contents about tanzanian clubs
 
Upuuzi tu humo, huyo waziri kila sentensi anaweka neno mchakato, ukisikia awamu ya opotevu wa muda ndio hii.
Mchakato mchakato madness.
Mwambie baba yako anye bil.420 Ili wajenge..

Hakuna haja ya kuchoma mapesa yote hayo na kitimu chenu cha Taifa hakuna kinachofanya..

Bora serikali itumoe Bil.250 kujenga Viwanja 3 kwenye Mikoa ya Mwanza,Arusha, Mbeya au Morogoro vyenye capacity ya seaters Kati ya 40,000 hadi 60,000 na vyenye hadhi kama Uwanja wa Mkapa kuliko Ku pump Bil.420 kwenye uwanja 1..

Hiyo Arena ya Dom ijengwe baada ya 2028 huko Jiji la Dom likishakuwa sophisticated otherwise kwa sasa ni kupoteza hela bila sababu za msingi..
 
Maskini LAPSET ndio ushakuwa tembo mweupe rasmi baada ya South Sudan kukacha Lamu na Mombasa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220920-211222.png
    38.6 KB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…