chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,717
- 46,029
Kwanini Tanzania ina trend Kenya kila siku?One thing I noticed is actually Twitter ya Tanzania always has nothing the only fun thing there is maybe football the rest is a dead space so most tanzanians are always in Kenyan Twitter
aw mbuzi nlisha waambia uwa wanajilinganisha na TANZANIA sana na mnajua sie ni nyota
VPI UMEKULA SEMBE AU BADO TUKUPE ULENa this kind of thinking... Wewe ndo tegemeo kwenyu ama Kuna wengine?
Na this kind of thinking... Wewe ndo tegemeo kwenyu ama Kuna wengine?
Hii ni nomaFukwe ya nungwi zanzibari
View attachment 2355860
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!Ndiyo yeye huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sana ni mtafuta teuzi huyo hana jipya.Yuko Bungeni kwanini asiliongee huko?? Jamaa ni mbugila sana.
Ruto ametokana naye wapi huyu mtu,kwanza ni mtata niliona akimdiss Kenyatta, bado ana chuki na anaweza kulipiza kisasi kwa maadui zake wa kisiasa.
Kifungo kimekaa kama risasi kikitoka hapo lazima kikujeruhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We all know finishing quality ya kenyan infrastructures so humdanganyi mtu hapa. Acheni corruption mpate value for money in your projects.Kuna vitu zinajengwa hapo nyinyi madwanzi nini? It is being improved and under construction
Ataanza kupendeza tu ngoja aingie kwenye msosi rasmi
Kubadili matumizi ya ndege hizi si ufahari bali ni gharama za uendeshaji tu hizi ndege mpya ni nafuu zaidi ukifananisha na za zamani kupanga ni kuchagua kikubwa zisiathiri kbs operation za ATCLUsitetee mambo ya kipuuzi! Atumie ndege yake ya Urais! Sasa kama JPM alifanya madudu naye afanye?
Wacha upumbavu unajua unaongea na watu wenye ufahamu! Unataka kusema gulf stream G550 private business jet ile fuel consumption ni kubwa kuliko ile passenger jet A220-300?Kubadili matumizi ya ndege hizi si ufahari bali ni gharama za uendeshaji tu hizi ndege mpya ni nafuu zaidi ukifananisha na za zamani kupanga ni kuchagua kikubwa zisiathiri kbs operation za ATCL
Hizo za kumdiss Kenyatta ni drama tu yule ni mkikuyu mwenzake, mimi nashangaa kwanini lazima makabila haya mawili tu ndio yashike nyadhifa za juu serekalini mkikuyu au mkalenjin akizidi kidogo mluo, hivi hakuna makabila mengine hata makabila madogo madogo? Kama Tanzania viongozi wengi almost wote wa kubwa wametokana na vikabila vidogo vidogo mno.Ruto ametokana naye wapi huyu mtu,kwanza ni mtata niliona akimdiss Kenyatta, bado ana chuki na anaweza kulipiza kisasi kwa maadui zake wa kisiasa.