Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kujifariji pia inakubalika, ili mradi tu ufurahishe hisia zako.. zidi kujiconsole mtoto wetu..
 
kujifariji pia inakubalika, ili mradi tu ufurahishe nafsi yako.. zidi kujiconsole mtoto wetu..
Sasa kwn kuwa wengi ni dhambi? Kiukweli mpo wengi kuliko sisi na ndiyo maana ni ngumu kuzuia magonjwa ya mlipuko kama chorela, covid n.k pia hata chakula kinakuwa hakitoshi siku zote, ajira inakuwa hakuna ndio maana Wakenya wanazurura dunia nzima kutafuta unafuu wa maisha. Pia huduma za afya zinakuwa mbovu mana mpo wengi kuliko ilivyopasa muwe.
 
Kenya ni dampo la uchafu, hapo hakuna Kibera, leo napost counties zote ili muelewe ninaposema Kenya nzima ni chafu huwa namaanisha.
 
Kwani unajua kuliko serikali yenu?😂😂😂 Tanzania nzima mnajenga TU nyumba 1,500 kwa mwaka wakati Nairobi pekee inajenga nyumba 16,000.
🤣🤣🤣 Serikali yetu imesema wapi kama Tz nzima inajenga 1.5k houses annually 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 leta hiyo taarifa, maana naona unakunya tu.. nataka pia ulete hizo Taarifa in a tinny town like NAIROBI inayoonesha kwamba eti mnajenga 16k houses annually 🤣🤣🤣 unasahau kama DAR alone is Three times larger to NAIROBI na hilo eneo lote ni covered by houses hakuna misuti DAR mzee 🤣🤣🤣
 
Kwani unajua kuliko serikali yenu?😂😂😂 Tanzania nzima mnajenga TU nyumba 1,500 kwa mwaka wakati Nairobi pekee inajenga nyumba 16,000.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 I can assure you, achana na Tz nzima, hakuna mji hata mmoja kulingana na namba iwe mji 1,23.... ambao unawezana mguu kwa mguu na ukubwa wa miji ya Tz (Dar alone is Three times larger to NAIROBI) tena likija suala la kujenga nyumba mpya 🤣🤣 haujawahi jiuliza kwanini miji yetu Iko na population kubwa.? It's becoz of the number of houses.. na wala hatuishi kwenye mabati sisi kama huko kwenu
 
Wale mlidhani Bagamoyo port imekufa mjue imewakata 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220910-081523.png
    103.3 KB · Views: 21
EAC human development index ranking,Kenya na Tanzania zaendelea kukabana 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220910-081825.png
    46.5 KB · Views: 22
Akili za watchman hizi😂😂😂. Your reasoning should be investigated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…