Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba mlijenga 16 times kwa Tz .? 🤣🤣 We unajua Dar alone kila mwaka zinajengwa nyumba ngapi.? Au Unazungumzia kujenga nini yani.?
Kwani unajua kuliko serikali yenu?😂😂😂 Tanzania nzima mnajenga TU nyumba 1,500 kwa mwaka wakati Nairobi pekee inajenga nyumba 16,000.
 
au kama vip, ni mizuqa.!🔥 smile sana babake.. kilakitu mwakemwake...

this is just, but a reminder of april..

see it once more👇🏽

 
kulingana na censor ya hivi majuzi kule tanzania, kumbe tulikua sahihi. kweli idadi yao ilikua 64M, ilhali kenya ni 54M, na uganda 46M 🤔🤔

tanzania



kenya





uganda
 
Kiuhalisia kama sisi tupo mil 64 nyie ilibidi muwe mil 32. Sasa ukichukua mil 54 ambayo ndiyo namba mliyoko (makadirio ya chini) ukitoa mil 32 unapata tofauti ya mil 22, kwa hesabu hizo ni kwamba mmetuzidi watu mil 22 na kiuhalisia hamko mil 54, kwa jinsi mnavyozaana mpo zaidi ya mil 60 ndio maana chakula hakiwatoshi licha ya misaada mnayopata pamoja na sisi kuwapa chakula cha bei nafuu sawa na bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…