Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duuuuh ze don mbona za zamani hizo? Omba usaidiwe na vitu latest usikae kishamba shamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio umeona ni za zamani eti? zile za Nairobi je? ukweli mchungu, najua hamtaki, ila google earth itadhibitisha Dar iko hivi 👇 👇kwa upana na urefu, hizi sio zamani ndio muonekano taifa lote kwa sasa na inaongezeka kila mwaka..,



 
Anahangaika kubalance kitu kisichokuepo 😀
Kipi kisichokuepo hapa👇 kilaza? Nionyeshe kama kuna mabadiliko hizi sehemu leo hii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ukweli ni adui ya mtanzania😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ukubwa wa jiji ni ufukara.., mazuri yamezungukwa na ushuzi 😂 😂 😂 😂 😂 😂






 
Duuuuh ze don mbona za zamani hizo? Omba usaidiwe na vitu latest usikae kishamba shamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Za Tanzania ndizo za kitambo eti, na za Nairobi ni za 2022?😂😂😂😂, kapimwe mkojo, niko tayari na google earth, sema ng'we niende pole pole, mtaa baada ya mtaa bila haraka, well zoomed, dunia ijue Dar is slum ya 2022 ilivyo😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hii ni Dar ya wapi? 😂😂😂😂

Mbona unaforce sana tufanane na vyoo vyenu mnavyoita nyumba?

 
Za Tanzania ni blocks za Nairobi ni mud huts na shacks, 21st century mnaishi kwenye nyumba za tope CBD, Nairobi na Mombasa ndio miji duniani inaongoza kwa nyumba za tope aibu 😂😂😂😂😂

 
Mkuu kama upande mmoja wa kuingia CBd unakutana na hii hali!View attachment 2349692View attachment 2349703
Mje dar kujifunza usafi yaani jana usiku nilipita kariakoo mtaa wa kipata na Livingstone nimekutana na ile gari inasafisha mchanga kwenye rami . Ilikua around saa tano usiku . Jamaa wanafanya usafi kwa mid night ndio maana dar kubakia kua clean
 
Eti za block alafu ni Dar 80% muonekano moja tu., afadhali za tope chache, google earth itaonyesha ni kasehemu, ila Dar!!.., alafu haujajibu swali umekwepa, hapa 👇 👇 palibadilika? ama mliondoa huu ushuzi mmejenga apartments na standard houses na vyoo vya ndani? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂









 
Dar 80% ni ushuzi, hiyo ni kidogo sana ukilinganisha.., mazuri hamuna ya kulinganisha, so unakimbilia mabaya kujiliwaza, ila ukweli unabakia pale pale.., hapa ndio mko karne hii, jiji karibia lote, ukiondoa visehemu vichache city centre, kwa vile town yenu pia ni hovyo 😂 😂 😂 😂 😂 😂





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…