Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wachina wanampita mturuki kwa vituo aiseh [emoji1487]..ingawa wako slow
Wako slow kweli huku kwetu wakati kwao wanafanya miradi kwa kasi sana,au tunawacheleweshea malipo hayalipwi on time?
 
NHC inaenda kufa!
Haiwezi kufa bana itapata wateja wengi tu,kuna watu wengi wanahitaji nyumba huko. Kama wanaweza kujenga nyumba zao wenyewe nzuri na za kisasa watashindwa nini kumudu gharama za kupanga kwenye nyumba za NHC.
 
Haiwezi kufa bana itapata wateja wengi tu,kuna watu wengi wanahitaji nyumba huko. Kama wanaweza kujenga nyumba zao wenyewe nzuri na za kisasa watashindwa nini kumudu gharama za kupanga kwenye nyumba za NHC.
Sio Bukoba! Sehemu ambayo haina activities na Wakulungwa hata chuo cha maana wameshindwa kujenga!
 
Raila didn't steal stop lying, mulpractice happened both ends, in Kiambu it was Kenya Kwanza diehards who stole 10k votes from Raila to Ruto and it was discovered and corrected if u followed tallying there, I don't think Ruto stole neither did he endose it, just fans, u are merely being biased, can u substantiate your claims? am looking at this thing objectively, how things played out, separating facts from hearsays. Issue ya deep state not being used I heard from inside sources within Azimio before this election, Raila wanted to maintain his integrity, guys close deemed him as a fool, but it was alright for him to take that path. Do u know deep state wewe? or have u ever heard how Mt. Kenya mafia operates? The only thing Raila got was financial support, but deep state doing things underground nope, he didn't endorse., this election was free and fair, don't give Ruto undue credit.
 
Kama siyo jpm bei ya umeme kwa unit moja ingekuwa sh1300 amini usi amini
 
Bomu linaweza kulipuka muda wowote kwa sasa kenya imegawanyika na kunauchungu mioyoni mwa nusu ya wakenya hiyo ni kama petrol inasubiri cheche tu
 
Ombea maumivu yasije kutokana na uongozi kuwa mbaya maumivu ya hivyo yakija ni cheche kwenye petrol. Omba Ruto awe kiongozi mzuri vingi nevyo bomu litaripuka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…