The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Siku zote hapa tunavyosema GDP ni upumbavu when it comes to development debate ubongo wako huwa unauweka makalioni au sio?India is still more of a third world country. Can you compare India to SA even though India's GDP is 8 times more than that of South Africa?
Itakua poa sana,mradi utaendeshwa unavyostahili sio kiswahili kama ulivyo sasa hiviKuna mtu nilikutana naye miezi miwili imepita aliniambia hii kitu……….The Emirates in BRT
At least India is not ranked among the top 25 poorest countries in the world like Tanzania.Wewe mtu unayetokea slum hub huna mandate ya kuikosoa India, kuwa na adabu.
Huwa tukisema wewe ni watchman unaona vibaya, sasa saa tisa ulikuwa macho ukifanya nini kama kweli sio watchman?Siku zote hapa tunavyosema GDP ni upumbavu when it comes to development debate ubongo wako huwa unauweka makalioni au sio?
Sijui why high end residential areas za Tanzania hazinanga lami😂
Hawatoagi credit na wala hawa like, nashangaa watanzania kulike picha za mijitu ina roho mbaya kama shetani [emoji48]Hiyo picha yangu hata hawanipi credit hawa mbwa [emoji23]
Lakini NHC ndio inamiliki almost 60% ya majengo yote yaliyopo katika CBDs za almost kila mkoa mkubwa Tanzania, NHC ina potential kubwa sana ikipata Intel nzuri, maeneo mengi posh areas Tanzania yanamilikiwa na NHC na mengine yapo idle tu hayaendelezwi huku wananchi wakiamua kujijengea nyumba holela.
Kuna kipindi walivalue NHC wakakuta ndio real-estate dealer mkubwa Africa kieneo/milki.
Watatoa service gn?Kuna mtu nilikutana naye miezi miwili imepita aliniambia hii kitu……….The Emirates in BRT
Nyama ya mtu hiyo ishawekwa ndani na tumbo juu mkuu.The best 007 huyu kama ni mchaga naomba pass bro[emoji2297][emoji1787][emoji1787] pisi freshView attachment 2341525
Mombasa hii hii inayoongoza kwa nyumba za udongo EA?Mombasa ni mwiba kwa the southerners.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2341596
View attachment 2341600
View attachment 2341601
View attachment 2341597
View attachment 2341598
View attachment 2341599
Watch outside CBD.., nje ya Island, mtaa wa Bamburi Mtambo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
India ni kama copy ya China
Hiyo picha yangu hata hawanipi credit hawa mbwa [emoji23]
Sio Nandy yule?Ni muiraq (Mmbulu) from Karatu Arusha.
Hapo nyuma kuna lundo la mauchafu ukibisha jikune nikuwekee picha isiyo na filter.
Ngoja tuweke picha ya juu ili ukamuongopee babaako sio humu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
Nchi ya GDP hafifu inaonekana kwa ground kila eneo, hawa ni domo domo tu, everything is clearly seen 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Sijui why high end residential areas za hazinanga lami😂