Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe umegubikwa na mafundisho ya ukoloni mamboleo. Egypt na Ethiopia zipo Mashariki ya Kati?
Ethiopia specifically is a special case because their relationship with Christianity began way earlier than colonial times. Yet, Ethiopia and Egypt don’t contradict my point because Christianity - the Coptic Orthodox Church was spread in both areas from outside forces.

Egypt had its own civilization that had nothing to do with either Christianity or Islam.
 
Hujui lolote na hicho Kiingereza chako cha ugoko. Afadhali ukae kimya. Zinduka.
 
🤣🤣 Wacha ujinga.. Tamaduni za utumwa ni Tamaduni zilizo letwa na wote waarabu+wazungu kila mmoja kwa faida yake.. lakini hakuna dini hata moja kati ya hizo inayokubaliana na utumwa

Wayahudi ni waarabu pia kiasili na utumwa haukufanywa na dini ulifanywa na races tofauti tofauti .. kwanini dini ya kiyahudi isitajike katika hili.? it's just wayahudi ni wachache na manifestation yao sio kujitangaza world wide and that's why ni rare kupatana na case zao


Kwanini Catholic Churches ziko na statue za watu weupe.? 🤣🤣 hili sio swali Bro, Catholic church iligunduliwa na watu wa Roma, sasa unategemeaje kuona sura za watu weusi au waarabu.?

Kuhusu dini na utumwa, iko hivi wapo agents of colonialism waliotumwa kusambaza dini lakin kwa lengo la kutuibia..

Lakini dini inakataza utumwa .
 
Soma history mzee
 
Thank you for bringing this up because I was curious about righteousness and religion. If it’s a sin to enslave another human or steal or exploit, why did the Arabs and Colonizers continue to subject suffering onto Africans?

Religion is flawed. The organizations themselves are governed by men, who make mistakes just like everybody else. There’s no such thing as saints! And to them, it was all about control and not spreading the “word of god.”

“Convert the savages into Christians so they accept our rule.” “Convert the slaves into Muslims so once we ship them back home, they will properly integrate with us and respect our cultures.”

And why did I ask about the white statues? Because it’s ridiculous to hold a religious organization that has constantly stood against its own rules with such high esteem. Jesus was not white and neither were the rest of the other people in the Bible.

“Catholic church iligunduliwa na watu wa Roma, sasa unategemeaje kuona sura za watu weusi au waarabu.?”

Catholic Church ni organized religion yenye mafundisho ya Ukristo. So you see, the religious practice originated somewhere else, yet the organization is Western. So, why were you yapping your mouth earlier?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…