The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Hakuna cha spy ni fala mmja tuu huyo..We jamaa ni spy 🤣🤣🤣 mkubwa sana, kwahyo ulikua unamtaftia gap tu 🤣🤣🤣
Kubwa jinga halijui hata kutuma link.. hata kuupload pic hajui.. 🤣🤣🤣🤣 Mtu mzima alafu analetaga hoja za ******* ,🤣🤣🤣 Dah.! Hongera kaka kwa kutuonyesha zamwa letu humu ndani
Mtahangaika Sana na kushangilia hewa ila hakuna siku nitasapoti upuuzi wenu hata siku moja.🤣🤣🤣 Mtu mzima alafu analetaga hoja za ******* ,🤣🤣🤣 Dah.! Hongera kaka kwa kutuonyesha zamwa letu humu ndani
sio msomi mzuri ni mhuni pitia bajeti yake utajua! Msomi mzuri ni Prof. Mpango si huyu PHD za kupikwa kama za JPM!Huyu jamaa ni msomi mzuri tu, lakini nae ni mchumia tumbo, yupo hapo kutetea upumbavu.. kwani magufuli si aliongoza hii nchi mwaka mmoja tu uliopita na nchi haikua na tozo, yeye aliwezaje .? Na mbona kipindi hakukua na tozo tuliona miradi mipya ikianzishwa kila kukicha while kipindi hiki cha tozo hakuna miradi mipya ni maneno tu.? Hizo hela za tozo wanapeleka wapi.?
I mean dr Mpango!Mpango kawa lin Prof?🙄
I thought ni Upanga maeneo ya muhimbiliThis is Ngong' Road, it can floor Kijitonyama without any difficulty.
View attachment 2341695View attachment 2341697
Wapiga debe kazi wanayo round hii
Engineer bado kuna case za covid-19Rais wenu bado anavaa mabarakoa
Jpm Alibana wakubwa mbavu akajenga hosp hc disp nk...sasa Mama kaona ni dhulma wacha tugawane hasara ,kinachotuuma sio tozo,ni ku9na wanaagiza mav8 ya 500M ilhali watu tunabinywa kila angle...atleast wangejibana basi mambo yaende...Yani tunajibana alafu yanatokea matumizi ya hovyo katikatiHuyu jamaa ni msomi mzuri tu, lakini nae ni mchumia tumbo, yupo hapo kutetea upumbavu.. kwani magufuli si aliongoza hii nchi mwaka mmoja tu uliopita na nchi haikua na tozo, yeye aliwezaje .? Na mbona kipindi hakukua na tozo tuliona miradi mipya ikianzishwa kila kukicha while kipindi hiki cha tozo hakuna miradi mipya ni maneno tu.? Hizo hela za tozo wanapeleka wapi.?
Ndio huyu kumbe [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji3][emoji3][emoji3]Safi sana leo umejileta mwenyew.. hapo umelike hio post.. mpo 15..
View attachment 2342348zaman uliwah kuleta screenshot ikaonyesha na profile pic yako ya twitter.. sasa nimepitia hizo like 15.. nimekutana na profile pic yako nawe upo
Sasa, hii ndo account yakoView attachment 2342345
Na huyu ni wewe
View attachment 2342346
View attachment 2342347
Mtu mzima lkn akili kisoda..
Nimemjua leo Deo Kivevele,huyu ndiye huwa anatusumbua kwa maneno mbofu mbofu humu jukwaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni moja ya kazi zangu [emoji28][emoji28][emoji1787]
Hio screenshot yake yenyew ndo ilikuwa hii.. nikasema huyu ipo siku atajileta mwenyew tu.. angalia profile pic hapo juu kushoto
View attachment 2342358
Siwezi kukulaumu,Wachina wenyewe wanatamani wakaishi USNi uongo bhana, China inafanya vitu vikubwa ambavyo US haijawahi kufanya na haitaweza kuja kufanya.. hilo lipo wazi wala halina mpinzani
Tatizo ni exposure hapa,China is ahead US tangu lini[emoji1][emoji1][emoji23]China is ahead of US in almost every single aspect, huu ukweli dunia nzima wanaujua . Kitu pekee marekani inaizidi china labda ni paper GDP and military budget
Huu pia ni uongo, Miji ya China ni mizuri kuliko miji ya US, waingereza wengi mno wanakimbilia kuishi china na wanaongea mandarin vizur tuSiwezi kukulaumu,Wachina wenyewe wanatamani wakaishi US
Tusiongelee mate wakati wino upo, tushuke groundTatizo ni exposure hapa,China is ahead US tangu lini[emoji1][emoji1][emoji23]
Kuanza co shida, kwn kati ya UK na US nani alianza? Mbn leo US yuko mbele na tunakubali.Sikuwahi kusanda,the issue is US ilishafanya mambo kitambo...China ndio anaibukia,China haiwezi hata Japan ndio iwe US
Umemdaka, ngoja nikamtafute [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Safi sana leo umejileta mwenyew.. hapo umelike hio post.. mpo 15..
View attachment 2342348zaman uliwah kuleta screenshot ikaonyesha na profile pic yako ya twitter.. sasa nimepitia hizo like 15.. nimekutana na profile pic yako nawe upo
Sasa, hii ndo account yakoView attachment 2342345
Na huyu ni wewe
View attachment 2342346
View attachment 2342347
Mtu mzima lkn akili kisoda..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 2342366oy mwenetu umufichuliwa leo na wakali [emoji1787][emoji1787][emoji1787], na T-shirt yako ya Mbeya City hiyo