Hela zipo ni wewe na mipango yako tu...Ndani ya week 2 almost gari mpya 5000 za kiraia zimesajiliwa Tanzania
Baba alikua busy kumuonesha kanani mpaka kofuli likaachwa misri 🤣🤣🤣🤣sio poa lakini!
Ujuha tu unawasumbuaLipo lipo tu na Ushungi wake!!
Jengeni soko kwanza😂😂😂Mombasa ni city yet haina 5 star hotel! As for Arusha airport ujenzi wa jengo la abiria fedha zimetengwa!
Narudia tena, MJI WOWOTE AMBAO HAUNA BRT SYSTEM, CABLE STAYED BRIDGE, MODERN AIRPORT, OR ELECTRIFIED SGR huo mji ni wa kizamani san
Basi leta soko ya Arusha tuone😂😂😂Umekomalia Arusha Airport unajua kutoka KIA Hadi Arusha ni kilometa ngapi?
yes most definitely.. infact prior to it called 'Yurop' is was previously called 'UK'..Nimecheka sana kumbe Kisumu ndio yuropu yenu 😂😂😂😂
nimewahi sema mara nyingi sana. Hata picha zako nimewahi like mara nyingi sana hapaWe ni lini umewahi ona kitu cha Tz kizuri ukasema?unaroho chafu bana ww