Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu na apartments za kifahari in the same sentence lol
Just google neno "Kisumu apartments" then click on images uje unihadithie, ikija apartments in EAC Kenya ndio babalao.., kindly google kisha uje..,
 
Safi sana kazi nzuri. Juzi ilikuwa asilimia 9 leo imeongezeka moja na kufikia 10,kazi inaendelea.
 
Mji fukara wa mwisho kunyaland utatoa wapi apartments? Kwanza anaishi nani?
Google usiogope hautapigwa.., yaani uchukue Mwanza uweke pamoja na Arusha, ikija apartments, kisumu inanyonga zote kwa pamoja 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Leo nmeelewa kumbe na wewe hii ndiyo ajira yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fukara wanaziona kwa google tu.., nilikuambia post eastlands ya Arusha ama Mwanza umeshindwa, apartments ziliisha zote? umeona Kisumu kwa google? Kisumu sio mwenzenu, nyambaff😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Fukara wanaziona kwa google tu.., nilikuambia post eastlands ya Arusha ama Mwanza umeshindwa, apartments ziliisha zote? umeona Kisumu kwa google? Kisumu sio mwenzenu, nyambaff[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaposema Eastland unamaanisha nini.
 
Fukara wanaziona kwa google tu.., nilikuambia post eastlands ya Arusha ama Mwanza umeshindwa, apartments ziliisha zote? umeona Kisumu kwa google? Kisumu sio mwenzenu, nyambaff😂 😂 😂 😂 😂
ww naona una akili ndogo ufahari sio kuishi kwenya apartment uku kila mtu ana land yake na nyumba na bonge la shamba.. ni suala la mtazamo tyu huo najua kwenya amna ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…