Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Update: Kigongo-Busisi's JPM bridge






Source
Hizi bridge wanazikosea sana,wanazifanya fupi kwanini awajifunzi kwa bridge za wenzetu zinakua ndefu kiasi hapo chini meli yenye urefu wowote inaweza kupita,kwa mfano kama nyerere bridge pale chini kungekekua na na nafasi ya kupitisha meli kule kurasini tunafungua bonge ya moja ya shipyard maana kupo kupo tu kule
 
wewe mpumbavu wa wapi? kwani umeambiwa hapo ndo mwisho wake? wacha kimbelembele kama hujui mambo ya ujenzi! Hiko ni kitako cha piers! utenge hata muda wa kuangalia design si unaropokaropoka tu!
 
hii nayo ni kali sana mzee.!🔥🔥🔥😍👏🏽👏🏽

it's obvious the most aesthetically pleasing city in east africa after chigali, would most definitely be kisumu.. hakuna battle hapa

 
You are one of the uneducated idiots in this forum. Ungekanyaga shule ungejua kwamba there's nothing like properties when talking about tangible items.
Mm sijaenda shule ila nmekuzidi kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mm sijaenda shule ila nmekuzidi kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah, umenizidi ujinga. That one I can't deny.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…