Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umemuambia ukweli,
Pia inawezekana ukawa unajibishana na jobless anaye lala na kula kwa wazazi wake hivyo hana maisha anayoyajua
 
Umeongea kwa uchungu sana...
 
Huyo haiwezi kukuelewa maana anasema anasifia kwasababu ananufaika na huu uongozi, siyo mzalendo analinda tumbo lake hata kujibishana naye unapoteza nguvu zako bure mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…