Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni kazi safi
 
na ujue ata sio tanzania tu, ata mpaka, nigeria, ghana, algeria, morroco, tunisia, wooote hao tumewakunja kwenye hili sekta
Zinawasaidia nn wakati 99% ya Wakunya hamuwezi ku afford, tofauti kati ya Tanzania na Kenya ni kubwa sana, cc tunafanya miradi itakayompunguzia common mwananchi ukali wa maisha nyinyi wapumbavu mnafanya mamiradi ya kujionesha yanayoongeza ukali wa maisha kiasi cha kwamba njaa imekuwa wimbo wa taifa. Nyie mnajenga malls sisi tunajenga markets that's a big difference.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…