Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Punguani limeingia kwenye jukwaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
pale wakenyani wanapojifanya wajuaji kumbe si lolote
 
Huyo ni dropout wachana na yeye.., St. kayumba type, sasa wako wanne humu, tutatumbuizwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wataje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ila mjomba kwenya suala la language sio suala kubwa ni namna ulivyo set content yako na kuihariri vizuri
 
Huyo ni dropout wachana na yeye.., St. kayumba type, sasa wako wanne humu, tutatumbuizwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
we kama una bishana na mtu wa st kayumba naww pia ni the same sheeeeeeeeeeeeeeet na ww upo kwenye ule ule mfuko
 
My point is...., je Tanzania?
View attachment 2333381
Unapiga kelele mingi ilihali YouTube channels kubwa top 20 in EA zote ni channels za kutoka Tz na views wake 70% ni wakenya .. ni bora unyamaze tu mzee.. wale cheap travellers wakikenya 🀣🀣 akina miss trude, African travellers, teargas, I'm Mwarwa.. wote hakuna chochote wanapata huko YouTube vile ungesema labda wakae kwa comparison na wabongo..
 
APO UMENENA mkuu BONGO TUNAONGOZA na waangaliaji ni wakenya so apo umeona wakenya wananyo ihusudu bongo for real and for sure
 
ila mjomba kwenya suala la language sio suala kubwa ni namna ulivyo set content yako na kuihariri vizuri
Kuna advertiser wanaofanya brand awareness, hawa ni makampuni makubwa, hawajali nani ataona matangazo yao, wao wanamwagapesa tuu. Hapo lugha na eneo si la maana.

Kuna wale advertisers wanaotaka kuuza bidhaa zao kwa watu fulani au kutafuta leads (email, phone number e.t.c) hawa wanajali lugha, umri, jinsia na maeneo matangazo yao takaoneshwa.
 
apo nimekuelewa #chamoto kumbe unajua
 
Inajitahidi ila bado Sana kufika kwa Arusha.
 
Bila Tanzania Kunyaland hamna kitu,wanaendesha maisha Kwa kutegemea Tanzania πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220824-141009.png
    84.6 KB · Views: 22
Mara ooh Mwigulu kaleta tozo mara ataua uchumi πŸ˜†πŸ˜†..

Takwimu zinawakataa haters wa Mwigulu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220824-141037.png
    86 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220824-140941.png
    57.5 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…