Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona ni kubwa, lakini sio developed vile, sehemu kubwa ni hovyo, kama tu Dar.., wacha niweke picha zote humu, tokea CBD hadi maeneo nje ya CBD, nipe mda kidogo..,
Dar usiiguse kabisa mana kuna vitu kibao vipo Dar huwezi kuviona East and Central Africa lkn hakuna kitu kipo ka Nairobi ukakosa kukiona Dar hata ulie huo ndio ukweli.
 
Dar usiiguse kabisa mana kuna vitu kibao vipo Dar huwezi kuviona East and Central Africa lkn hakuna kitu kipo ka Nairobi ukakosa kukiona Dar hata ulie huo ndio ukweli.
Wachana na mimi niko Mwanza kwa sasa.., hizi fikra zako ka wahadithie blue collar wenzako hapo airport, yani kuna miji Europe ambazo najua kuna vitu viko Dar na haviko kwa hizo city, so Dar ni babe kuziliko, nyambaff, potelea mbali πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hata sielewi, hao wasukuma wako na majina yao ya hovyo hovyo tu🀣🀣🀣 hiyo stendi yao ni kali mno lakini jina ni Nyamhongolo bus terminal
NyamhongoloπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, bora inapendeza, ni kama mtu tajiri sana ama professor flani maarufu lakini jina la ajabu.., huwa inakua poa tu.., ila ukipewa jina ugly na wewe pia uko hovyo kimaisha ndio mbaya.,
 
Sama boy 255 Mwanza hiyo apo.., ni wide na iko organized around CBD area, ila ukiendelea kusonga nje utaona watu wanajenga kiholela tu..,

Around CBD area..,







 
Sama boy 255 kama uko na tablet ama laptop utaziona picha za satellite clear kuliko kutumia simu.., simu ni ndogo kuonyesha picha vizuri.,
 
Mwanza ni kubwa mzee we si uko na google Earth .? Pitia tu uione mwenyewe
acha tuku _fuck na uongo, mwanza sio kubwa jinsi mnavyo isifia kila kukicha, eti mara hoo.. sijui 'mwanza ni kubwa kushinda kisumu mara nne!?'πŸ€”
na ila hali kwa ground, ni size moja☝🏽 na kisumu ama eldoret... ata nakuru imeizidi kwa ukubwa..
yatafari hayo πŸ€”πŸ€”

hii google earth hapa, msema ukweli siku zote.. hakuna kuhepa. see for yourself.. πŸ‘‡πŸ½

 
Wewe ndio hujielewi,asante
 
Juu ya huo mwanga ni ilemela na kwa huo mwanga ni CBD na baadhi ya maeneo ya karibu na CBD
 
A
Ata hivo bado huwezi linganisha ukubwa wa hapo chini(mwanza ) na uko juu (kisumu)
 
"Eastlands" ya Kisumu.,




Mamboleo Interchange.., Kisumu


Kondele Flyover.., Kisumu


Kisumu Airport/Busia road Interchange..,




Nyamasaria Flyover., Kisumu
 
🀣🀣🀣 Wacha kuwa mpumbavu wa kutaka kulinganisha Mwanza na hizo tiny town of yours
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…