Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba za waarabu vs office blocks, hiyo naipea Eastlands kazi kwishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aliekuambia kariakoo wanakaa waarabu peke yao ni nani? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hawa ni waarabu?

 
Aliekuambia kariakoo wanakaa waarabu peke yao ni nani? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hawa ni waarabu?

My point is they are apartments πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., Dar ni Mombasa kabisaaaa
 
Yupi huyo?

Nahisi haujanielewa
Yaani Nape ndio kasema kuwa kipindi cha nyuma vifurushi vilikuwa juu kuliko kipindi hiki kwamba vimepungua wakati watu tunapunguza matumizi ya bundles ili tuweze kudumu muda mrefu?

Nikauliza swali ,ni yeye kweli amesema hivyo kwa akili yake au amewekewa maneno? Wanasiasa bana.
 
Mtapigia mama kura ama mnamrudisha Zanzibar ikija mwaka wa uchaguzi? naona kawatesa kwa kodi..., natabiri atashinda tu bado, pengine CCM imteme kimaksudi.,
Shida yake anapokea kila ushauri anaopewa bila kuupima kwa mapana yake. Hizi kodi zitamuweka pabaya kwenye ramani ya siasa. Wananchi ndio wataamua, kodi kodi kila kitu.

Wahuni si watu wanamchonganisha na wananchi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…