Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuwa nasubiri nione kama kweli laana huwa inafanya kazi, now nmeamini aiseee, licha ya kupewa support na rais aliyepita lkn imeshindikana kabisa.
 
Wacha kulazimisha mawazo yako potovu hapa bongolala. It's clear hiyo bati ya red ni fence ya ujenzi.

Eti filter! Unataka nikuonyeshe picha za Dar mlizojaza makeup ndio ujue filter ni nini?
Nakuambia hivi ile cku utanionesha mmeondoa haya maspider ndio uje tuongee [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
so hivi kwako, kwa hio macho yako finyuu.., between hapa na Hillbrow ama Alexandra in joburg, ama Kennedy-Road in durban ama Khayelitsha in cape town ni wapi ni afadhali 🤔🤔

 
Hawapendi kusikia maneno hayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naskia Tanzania pia wana waziri mkuu?
 
Mkijisahau mnawataja majina hadi waliokua wakuu wamikoa halaf saiz mnajifanya hamuwajui[emoji28][emoji23]
 
Mkijisahau mnawataja majina hadi waliokua wakuu wamikoa halaf saiz mnajifanya hamuwajui[emoji28][emoji23]
Sasa kama mimi binafsi sijui jina ya VP wenu sasa wakuu wa mikoa nitawajuaje? 😃😃
 
Hahahaha, wamuulize Josh Onyango atawaambia utamu wa Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…