Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Wacha uongo kijana hiyo ni barabara ya mtaa, sio ndani ya compound π€£π€£hapo ni inside his compound the main gate far from there so do you want people to control what road one uses in his private land?
Tumia akili magufuli alikuwa kinyume na hiyo fomula ...kama angefuaya kanuni ya ccm basi mafisadi yangempenda wewe akili zako ni ndogo kushindwa kuelewa tofauti ya ccm na magufuli
Wacha mchezo kijanaPamoja na yote lkn Karen siyo level kubwa kiihvyo kama ilivyo Masaki kwa Dar, katika maeneo posh Karen siyo namba 1 kwa Nairobi kama ilivyo Masaki kwa Dar, nimefika Karen siyo pakali kiihivyo kama maeneo ya kwa mfano zilipo Ofisi na makazi ya watu wa UN, Karen kwangu mimi ni level ya Mbezi Beach lkn hivyo jinsi nilivyoona mimi!
Alaah alaah shenzi sana.infact the main man to focus here is not even Baba, but Atwoli himuseluf.. olewangu.. pole kwake aki π€£π€£
Backdoor ROAD.Karen ya vumbi la congo
Barabara hata Mbagala wamewashinda!
View attachment 2324469View attachment 2324470
Muwahi uhuru awaambie kilometers 11k za lami alzowajengea kaweka kwenye folder gani kabla halijachomwa moto na ruto πππhapo ni inside his compound the main gate far from there so do you want people to control what road one uses in his private land?
Nilijua tuu ni either jaluo atangazwe au kuwe na dosari warudie uchaguzi π mpeni ndoo ruto tumechoka kusubiri aiseeNgoma inogile ππππ