Sawa it's okey. ..sababu kubwa yangu ku reply messages zako za awali ni sababu nilisema kuwa sita kuwa niki reply comments za watz wasio kuwa na akili...wale watz wa povu, hasira na renders...πππuskue kama hao watu bro...mimi nakuheshimu sana...wewe ukweli unausema bila ushabiki...sasa usifate nyayo za wale watu wa povu, hasira, renders...tayari hawana heshima toka kwa wakenya ila wewe atleast...
Pinnacle itakuwa na ghorofa ngapi?Pinnacle ni mwiba wa kila mtu iyo mkiiweza haina ubishi
Airport hata yetu mwakani itabadili sura
Yaliobaki hapo hayana mashiko kwa kweli
Plastic bag na usafi sio kitu cha kuzungumzia izo ni mambo ndogo sana!!
Light rail ni project ambayo ndio naiskia kwako labda sina updates. ....
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sina uhakika ni kati ya 66 -70Pinnacle itakuwa na ghorofa ngapi?
Vipi kuhusu BRT mmeshafanya au bado mnabasi yenu Yale ya kuchongeshayaani when tanzania is thinking of doing, Kenya already did....a good example is
the SGR is in Nairobi from Mombasa....nyie hata kilomita 10 bado
the Lamu port is already at 3 berths...dont know what happened to Bagamoyo port
Inajengwa maeneo gani
in short, cost of living is high at the same time, standard of living is lowofcourse i know what expensive means.π±π±.see this nigga??ππ.. well, in this case, it means the basic cost of goods, rent, transport etc are high..this is a bad thing right?...however, top cities tend to be expensive because they are very attractive to both foreign investors and tourists alike and that is what makes Nairobi,Lagos, Casablanca, Johannesburg, Pretoria and Cairo expensive...dont expect the most attractive cities to both tourists and investors to be cheap...just go to London, Paris or New York and ask for a 300 ml Fanta drink....lol! it goes for as much as ($7) Ksh 700.... these cities usually have the best real estate too...they are leading cities....
Asante kwa povu... karibu tenaππππHaha hiyo ilipitwa na wakati a decade ago.
Renders as usual thanks broπππni vizuri umeuliza....haya zifuatazo ni sababu za maumivu zaidi kwenu...
1.Tallest glass skyscrapers in Africa are being built; all in one place, Upperhill...by 2020, there will be seven Nairobian buildings in the top ten tallest..so it will be a battle of Nairobi and Jobrug only.
2. A light rail project from JKIA is on the table
3. JKIA will be ferrying most passengers from East Africa to the USA...meaning the aiort will be receiving more than 10 million passengers annually (in 2016 the number was 7 million against Dare salaam's 2.5 million)
4. We have started a program that is aimed at cleaning Nairobi streets...a plastic ban is also in place
5. Roads like Outer Rung road and numerous bypasses are nearing completion (others like Uhuru double decker highway are on the table)
kwa mtazamo wangu, after the pinnacle,montave and avic are through, even Cape town will be on its knees leave alone Dar..therefore, this battle will be meaningless and irrelevant
pinaccle kama wanajenga mwambie akuoneshe wapi wanajenga akikuonesha nitag plz ππππPinnacle ni mwiba wa kila mtu iyo mkiiweza haina ubishi
Airport hata yetu mwakani itabadili sura
Yaliobaki hapo hayana mashiko kwa kweli
Plastic bag na usafi sio kitu cha kuzungumzia izo ni mambo ndogo sana!!
Light rail ni project ambayo ndio naiskia kwako labda sina updates. ....
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Nioneshe wapi wanajenga hzo renders plz broπππkiukweli, usafi hio ni jambo la kawaida...ila Pinnacle Montave Avic and light rail will render this battle irrelevant...how will you compete with these skyscrapers? ndio nakwambia, Cape Town itakua pabaya by 2020 sembuse Dar...
Sisi hatujengi gari moshi sisi tunajenga one of the modern electric train with a speed of 160km/ hryaani when tanzania is thinking of doing, Kenya already did....a good example is
the SGR is in Nairobi from Mombasa....nyie hata kilomita 10 bado
the Lamu port is already at 3 berths...dont know what happened to Bagamoyo port
akikuonesha pinnacle na montave wanapojenga na lamu port walipofika nitag plz broπππSawa it's okey. ..
Ila haya mambo yanatia mizuka sana kwa kweli...Nadhani Ni sahihi nyie kuvimba lakini tutawapiga manundu tu msijali[emoji16][emoji16] haiwezekani kila kitu muoshe lazima tukomae nanyi ...
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Bado ni render πππππPinnacle itakuwa na ghorofa ngapi?
Si akuoneshe inapojengwa sasaπππππ
I have beem to upper Hill today and you can't even begin to imagine the kind of activity there... It's Sealed but heavy machinery on place, i couldn't take a photo coz the banners are so high you can't see through. But all you need to know is, work is underway.pinaccle kama wanajenga mwambie akuoneshe wapi wanajenga akikuonesha nitag plz ππππ
excuses nazo......I have beem to upper Hill today and you can't even begin to imagine the kind of activity there... It's Sealed but heavy machinery on place, i couldn't take a photo coz the banners are so high you can't see through. But all you need to know is, work is underway.
Pics plz sio porojoπππππππI have beem to upper Hill today and you can't even begin to imagine the kind of activity there... It's Sealed but heavy machinery on place, i couldn't take a photo coz the banners are so high you can't see through. But all you need to know is, work is underway.