Wewe pengine ndio huna roho mbaya na Kenya. Ila hawa watu wana roho mbaya na Kenya. Watashangilia sana ikiwa Kenya itafeli kabisa. Geza Ulole, joto la jiwe na The best 007Sisi sote ni ndugu moja tuu wakoloni ndio wametugawa ila wa Tz kiuhalisia hawaitakii kenya mabaya ila ni utani uliopitiliza tuu hata kwenye mpira wetu wa Simba na Yanga tuko hivyo hivyo baada ya mechi tunakunywa beer pamoja.
Hapo safi matumaini yanaanza kurudi [emoji123][emoji123]Mpaka late morning ameshapunguza gap kubwa na bado kwenye counties nyingi anaongoza.
Hata Rais wao Hersi mpuuzi! Bado uswahili mwingiii...!! Yaani msemaji kapigwa ban ila ubishi wao wa kipuuzi wamekaidi mamlaka wamemruhusu kushiriki Yanga day! Sasa hivi wanataka kwenda mahakamani na kututumbuliza kwenye yaliyopata Kunyaland!Semaji/mhamasishaji wa kidimbwi yuko wapi? [emoji1787]
Kama mbele mwanangu [emoji8][emoji8][emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91]
Tony mbona mara nyingi tumekuwa tukisema uchaguzi uishe salama? Na nimeongea hapo juu hata nusu saa haijapita. Watanzania gani hao, mambo mengine ni utani kaka don't take it seriously bro.Wewe unadhani Watanzania wanaitakia Kenya mema? Kwani hujui Watanzania ndani ya hii forum wana roho mbaya na Kenya?
Wao c wanasema nchi yao ina uhuru na kwamba Tz tunaongozwa na CCM pekee, sasa sisi tunaongozwa na CCM tangu uhuru ila kila kabila lina nafasi ya kutoa Rais, wao wanaongozwa na makabila mawili pekee na hakuna kitu watafanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo chuki zako kwa hawa wajaluo wa humu umeamua kumnyang'anya Urais baba wa watu ili uwakomoe wabaya wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tunawalisha lakini bado utapia mlo unazidi kila kukicha 😁😁😁Hapa tutawalisha jirani mpaka wavimbiwe [emoji28]
Na ndiyo maana nimebadili mawazo, wacha achukue Ruto tukawatawale, maana akileta fyoko fyoko tunampa pesa anafunga domo lake watu tunafanya yetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Raila ndio anaweza waletea Kenya maendeleo lakini kama wakichagua kikabila imekula kwo Ruto ni mpigaji.
Hehehehe Tony yani leo unaona mbwa tusi mkuu, mbn wewe unalitumia sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona unatukana kabila nzima ya watu "mbwa"?
Utani tu sema kunyan kila kitu mnachukulia serous sana na ndio maana humu mitandaoni kutwa ni mizozano na mataifa mengine,tena mnawaonea sana waganda mkija kwetu battle tunalibadilisha kwa kiswahili mpaka mnaomba poo,by the way watanzania tuna ndugu na marafiki wengi wakenya tunaanzaje kuwachukia,sema nyie chuki zenu ukabila zilizopandikizwa toka wadogo ndio hizo zinazowatesaWewe unadhani Watanzania wanaitakia Kenya mema? Kwani hujui Watanzania ndani ya hii forum wana roho mbaya na Kenya?
Unatukana mpaka Obama na umeweka picha yake kama Avatar yako? Hivi hujui Baba ya Obama ni Mjaluo kutoka Siaya?Hehehehe Tony yani leo unaona mbwa tusi mkuu, mbn wewe unalitumia sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyways wacha nibadili maana msije mkanipiga wajaluo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]