Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nigerians go to any country they perceive to have opportunities. They are not in Tanzania in huge numbers because they don't think that there are many opportunities there. Personally, I don't have any problem with them living in Kenya as long as they do legal activities. I am not worried about them outcompeting us on anything. We are extreme survivors and nobody can outcompete us in our own country. However, for the Nigerians doing dirty businesses, those ones should be arrested and deported ASAP.
 
Wanafanya hivyo kwenye sekta zote za uchumi. kwenye kilimo, wanalazimisha tuuze mazao yetu kwa bei ya chini wakati zana za kilimo (matrekta) wanazotengeneza wao kila siku zinapanda bei. Hawatosheki sasa wanaweka hatimiliki hadi kwenye mbegu ili wazidi kutunyonya.
 
Ni watu wachache sana wanaweza elewa hili Africa itajikomboa kiuchumi ikiweza kusimama wenyewe ila huu ukoloni mamboleo wa kiuchumi tutaendelea kuwa soko la bidhaa zao milele! Halafu kulinda dhulma yao wanakuambia saini EPA ili kuruhusu bidhaa zoote kati yetu!
 
*'
Kitu kimoja tunachotakiwa kufanya kama africa ni kuungana na kuwa na maamuzi ya pamoja, divide and rule inatutesa sana.
Mfano kwa pamoja tunasema sisi tutanunua mafuta ya mrusi, unafikiri sanctions ya bara lote la africa itawezekana kirahisi.
Chakula tulime sisi bei watupangie wao
 
UK's ambassador to Kenya akitazama jinsi uchaguzi unaendelea
 
well put, bro👏🏽
 
Acha upuuzi na maneno mbofumbofu, hao washenzi walijaa hapa tukawatimua na kuwawekea masharti ya visa ndio maana hawasogei kifalafala, kuna mtu hapendi kuja kuishi bongo? We mwenyewe hapo unawaza kila siku upate uraia bongo uamie…..uongo?😅😅
 
if their is any dangerous country for other africans to go, and especially kenyans... it would most definitely be tanzania. tanganyikans don't want anybody in their country.. they even seem to reject tourists who come for holidays, bringing in lots money..
tanzanians huaga wanatimua kila mtu wa nje kwao..
Tanzania for Tanzanians only!. hiyo nayo lazma kieleweke!☝🏽
 
Inawezekana kabisa ni utashi tu wa viongozi, hakuna jambo linashindikana kuondoa ujenzi holela na makazi duni.
Kabisa,dar panahitajika kupangika tena,maeneo mengi ambayo hauaeleweki lakini yapo karibu na mjini yanafaa yapa gwe upya tu...whether direct ama indirect
 
Tanzanians haitaki raia wapumbavu na washenzi kama Kunyans et al wanaofanana na Wakunya, hii nchi ni kimbilio la raia wote duniani wenye shida na mateso kwenye nchi zao kama Wakunya lkn nyie Wakunya tunawakataa cz ni washenzi, haiwezekani tuwalishe, tuwalee, tuwape remittance na bado mlete dharau, ndio maana tunawakataa.

Tena nikwambie tu Tz is not for Kunyans though raia wote duniani wanakubalika except you Kunyans, nendeni kafieni mbele mbwa nyie.
 
They are not in Tanzania because of language, what are you going to do in China or Korea with your English as a low life people?
 
I think this thread is useless. Nairobi is far ahead of Dar, every non-partisan traveler who visits the two cities observes that. There's no competition.
Tusiwahi kuona hapa tena ukijaribu kuonyesha Nairobi, maendeleo hayajaisha tutapambana hadi kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…