Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,749
Huyu motsepe ni $billionaire
kwa hiyo JPM alikuwa juha mpaka kudiriki kuhatarisha mradi wa EACOP kisa mafuta ya Russia? My friend Museveni is way smarter than u think!Huyu katishiwa kidogo kaachia punga kweli huyu raisi, only magufuli had the guts
View attachment 2317839
Na ni mgeni wa heshima leo kwenye Simba Day.Huyu motsepe ni $billionaire
Hivi katika Hali ya kawaida TU unaweza kumgang'ang'ania Mrusi ambaye Biashara yake na Uganda ni hafifu ukamuacha US anayekupa zaidi.Mfano 2020 Uganda aliexport Russia bidhaa za US 9.65 mil akaimport from Russia 73.1mil. wakati kwa 2019 aliexport US bidha zenye thamani ya US104mil.na akaimport from US bidhaa za US89mil.Ukiangalia hapo US anafaida Kwa Uganda kuliko Russia.Tukumbuke pia Africa bado ni dependent kwenye budget yake na most donors ni western.Kwangu Mimi M7 kacheza kama Pele kujiepusha na matatizo ya baadae.Huyu katishiwa kidogo kaachia punga kweli huyu raisi, only magufuli had the guts
View attachment 2317839
Msanii huyo,jaribu kuidadisi hiyo kauli yake kiundani[emoji23][emoji23]Huyu katishiwa kidogo kaachia punga kweli huyu raisi, only magufuli had the guts
View attachment 2317839
Hapo umesema sawa labda na mimi nichangie kidogo. Most of African countries do not have good stable and predictable policies that can attract investments pia bureaucracy iko very high, lack of reliable infrastructure (roads, railways, ports, electricity, water, etc) ni shida pia japo hii ndio sehemu muhimu ambayo serikali lazima wafanye investment ya kutosha, pia kuna lack of skilled labour ni area nyingine muhimu serikali kuwekeza, business should be the domain of private sector not the government.
Mnapenda propaganda sana. Miaka 60 baada ya uhuru bado mnasingizia wazungu. Wacheni ujinga na muanze kufanya kazi kwa bidii. Pia muwache kuchagua viongozi wabaya.One of the most significant policies of the western imperialists is to do whatever it takes kuhakikisha Africa plays its designated ROLE: source of raw materials.
Hata tuwe na highest levels of stability and predictability kwenye siasa na policies za uwekezaji, hiyo role ni ngumu sana kuescape.
Africa ya viwanda haitaweza uza raw resources na uzalishaji wa viwanda vyao utashuka, watu watapoteza ajira na hali ya maisha kuwa mbaya kwa kila mtu kama ilivyo Africa ya sasa.
NB: Ukweli ni kwamba, Africa ya viwanda ni tishio kwa uchumi wao na maisha yao.
Hivyo ni lazima kuhakikisha chumi wa viwanda haufanikiwi kwa kifanya figisu kama:
1. kutofanya uwekezaji wowote wa maana wa viwanda
2. Kusupport viongozi wala rushwa
3. Kuwapinga na kuwapindua viongozi wazalendo wa Africa through covert operations (kama vyama vya upinzani)
I like Lewis Hamilton. Huwa natazama F1 live. Na yeye ndio driver ninayemfuatilia kwa karibu.A Tanzanian tycoon paid for Diamond to performn azimio rally 🤣🤣🤣🤣🤣 meanwhile Lewis Hamilton is in Kenya
Itafika mahali labour markets za Asia and especially China and India zitakuwa staturated hivyo kupelekea Africa kuwa na cheap labour than anywhere else in the world hapo ndio transition ya African economics itatokea maana manufacturing units will be relocated to Africa na production ita pick up but most assuredly we will be the last to develop after Asia and South America labour markets have been exhausted. Ngozi nyeusi tunachukiwa sana dunia hii kama vile hatuna haki ya kuishi kama wengine lakini hii yote inatokana na kutokuwa na umoja amongst ourselves. The whole of Africa should be a free trade zone and do away with colonial imposed boundaries.One of the most significant policies of the western imperialists is to do whatever it takes kuhakikisha Africa plays its designated ROLE: source of raw materials.
Hata tuwe na highest levels of stability and predictability kwenye siasa na policies za uwekezaji, hiyo role ni ngumu sana kuescape.
Africa ya viwanda haitaweza uza raw resources na uzalishaji wa viwanda vyao utashuka, watu watapoteza ajira na hali ya maisha kuwa mbaya kwa kila mtu kama ilivyo Africa ya sasa.
NB: Ukweli ni kwamba, Africa ya viwanda ni tishio kwa uchumi wao na maisha yao.
Hivyo ni lazima kuhakikisha chumi wa viwanda haufanikiwi kwa kifanya figisu kama:
1. kutofanya uwekezaji wowote wa maana wa viwanda
2. Kusupport viongozi wala rushwa
3. Kuwapinga na kuwapindua viongozi wazalendo wa Africa through covert operations (kama vyama vya upinzani)
Nyie mliochagua viongozi wazuri na ku dance the western tunes mmefika wapi leo? 60 years after independence poverty and starvation still prevalent.Mnapenda propaganda sana. Miaka 60 baada ya uhuru bado mnasingizia wazungu. Wacheni ujinga na muanze kufanya kazi kwa bidii. Pia muwache kuchagua viongozi wabaya.
Unajua maana ya causeway kweli wewe bongolala? Make Google your friend in case you don't understand something/a concept.You must be blind to see 8 lanes, sijui hao bacteria huwa unawachunguliaje. Besides yours also is not a bridge but a causeway.View attachment 2315478
Huyo hata maana ya causeway ndio hajui sasa ataelewaje lanes?Najua hamtaki Makupa bridge to be 8 lanes lakini itawalazimisha tu mkubali.
View attachment 2315481View attachment 2315482
Tulikuwa na wazimu mmoja for 24 years aliyeturudisha nyuma sana. Waafrika huwa tunapenda kublame wazungu ilhali sisi wenyewe ndio tunachagua viongozi wabaya.Nyie mliochagua viongozi wazuri na ku dance the western tunes mmefika wapi leo? 60 years after independence poverty and starvation still prevalent.