Mbegu hizo na mimea yake zinaondoa uwiano wa asili kwenye eco system na ecology yake, na hii ni kwa viumbe wote toka single celled mpaka multicellular. Ni kweli zinaongeza faida kiuchumi lakini madhara yake ni makubwa sana hapo baadae (buttlerfly effect).Kwani wewe GMOs unazichukuliaje?,
Kwa nini nikae kimya wakati nchi yetu inaharibiwa kwa maslahi ya watu wachache?Kama huzipendi ni wewe kwa upande wako
The best 007 umeona hizi picha? Bado unaamini kwamba hii daraja sio ya Kenya?Najua hamtaki Makupa bridge to be 8 lanes lakini itawalazimisha tu mkubali.
View attachment 2315481View attachment 2315482
Kuna sikh waafrika? Mbona hiki kitu sijawahi kukiona Tanzania?sikh muafrika
Ukiacha na palivyo jalalani pote hapo lakini kwanini hawana railway policemen hapo kuhakikisha usalama wa watu? 😁😁😁😁 Kunyaland kila kitu kipo kighetto ghetto 😀😀😀😀Naomba mujionee wenyewe😂😂
https://www.facebook.com/
Hebu tuonyeshe expressway hapo Tanzania na pia utuonyeshe 8 lane bridge hapo Tanzania.Vitu ambavyo Dar inavyo na huwezi vipata Africa Mashariki na Kati.
1. Electrifitried SGR.
2. The best cruise ship terminal.
3. BRT system.
4. Three level interchange with six lanes and two dedicated lanes for BRT.
5. The most beautiful and biggest Air port in East and Central Africa.
6. The biggest market in East and Central Africa.
7. Modern and beautiful bus terminals.
8. Modern and beautiful cable stayed bridges.
9. The one and only footbridge with elevator in East and Central Africa.
Ngoja baadaye nitakuja kuongeza mana kuna watu wananisumbua.
Endeleeni kununua ndege kwa wingi kwanza in cash. Mimi nangoja tu kilio na kusaga meno kutoka kwenu. Mnapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama kununua ndege in cash ili tu kucompete na KQ. Mtaumia sana. Mark my words. Mtatengeneza losses hadi mshangae. Hii industry haitaki nyege na kimbele mbele.Domestic Market ya Tz iko vizuri sana..
Inagwa tumeorder 737 Max 9 2 ..i think na zenyewe zitasaidia sana kwenye domestic route some days ..
Musoma ,Shinyanga , Iringa , Tanga...coming soon At least Q400 ziwe zinaenda ..Iringa ilikuwa zinaenda ila naona wamefunga airport for Rehab
I think ATC should place orders for more Q400s
and TAA should make sure most airports can operate day and night for better frequencies
The best 007 Dar haina cruise ship terminal.Hii ya no. 2 hebu fafanua cruise ship terminal ipi hiyo? As far as i know Dar haina cruise ship terminal!
Huyu ni Mukorino. Dini lake ni dini la Akorino. Dini hili linakubalika sana eneo la mlima Kenya. Yaani JF ni darasa, mnapata mafunzo kuhusu Kenya.Tony254 huyu kafunga kilemba hivi maana yake nini? View attachment 2315522
wajahcoya anaabudu ngombe kwa hindu temple.. infact yeye ni hindu priest. jina lingine lake ni jaskamal patel.Kuna sikh waafrika? Mbona hiki kitu sijawahi kukiona Tanzania?
Ni SikhHuyu ni Mukorino. Dini lake ni dini la Akorino. Dini hili linakubalika sana eneo la mlima Kenya. Yaani JF ni darasa, mnapata mafunzo kuhusu Kenya.
Cc Geza Ulole
Sina uadui na GMO ila ni matatizo yake kiafya. Nchi walizotengeneza hizo tekinolojia wameanza kuzikataa, na ni baada ya watu kuanza kupata uelewa na kulalamikia viongozi wao vyakula wanavyolishwa.Amejenga uadui kwa GMO bila hata sababu za msingi, zaidi amesikia maneno ya mitaani, Yale Yale ya Gwajima na chanjo ya Corona.
Kwenye kujenga tu Tanzania kwa Africa tupo kwenye rank yetu wenyewe, watanzania tunajenga bwana!Dodoma inakuja kwa kasi mno, while Nairobi inazidi kuwa slum
Dodoma kama Capetown tu mpaka hali ya hewa!Kwenye kujenga tu Tanzania kwa Africa tupo kwenye rank yetu wenyewe, watanzania tunajenga bwana!
Sio Sikh. Akorino ni dini ya Kiafrika. Hii ni dini iliyoanza hapa Afrika. Na mwezi moja uliopita, walisherehekea miaka mia moja tangu kuanzishwa kwa dini hilo Kenya. Wao pia walipigania uhuru wa Kenya wakati wa ukoloni. Tazama video fupi utaelewa.Ni Sikh
Makupa bridge imejengwa ili makupa causeway iondolewe. Pengine hata hujui neno "causeway" ina maana gani.Kwani yenu ni bridge ama ni causeway [emoji28]
Thanks for the render😊
GMO ni sayansi Kama ilivyo sayansi zingine, imekua ikitumika kwa muda mrefu katika maeneo mbalimbali.Mbegu hizo na mimea yake zinaondoa uwiano wa asili kwenye eco system na ecology yake, na hii ni kwa viumbe wote toka single celled mpaka multicellular. Ni kweli zinaongeza faida kiuchumi lakini madhara yake ni makubwa sana hapo baadae (buttlerfly effect).
Kwa nini nikae kimya wakati nchi yetu inaharibiwa kwa maslahi ya watu wachache?