Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pitia hapa ☝️

How many Lanes .? Kumbe πŸ€”
Yaani hamjui kuhesabu? hadi raha, Kenya 1 Tz 0 πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kazi kwenu...,

 
Hawaamini ni Kenya, kwanza Mombasa, mji wa pili, inauma watani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nina raha sana.., leo hii mnakosa jibu kwa mjadala mnatoka nje ya reli kiujanja ili kujikomboa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,
Hapa vipi.? πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡six lanes magari ya kawaida, two lanes for BRT katikati hapo= 8 lanes .. usije ukajua tunalazimisha lahasha.! Pitia hii video πŸ‘‡ . Sec:13 utapata kuona bridge yenye 8 lanes.. Tony254. Bisha tena 🀣🀣🀣
 
Ni Friday, nenda ukale bata kama uko na hela, hauna lolote, unapoteza mda.., adios amigoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. 😜 😜 πŸ‘πŸ‘
 
Ni Friday, nenda ukale bata kama uko na hela, hauna lolote, unapoteza mda.., adios amigoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. 😜 😜 πŸ‘πŸ‘
Leo huchomoki hapa bablai ni kichapo tu 🀣🀣🀣
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hili nalo neno.
 
Hawaamini ni Kenya, kwanza Mombasa, mji wa pili, inauma watani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tunabishania 300m bridge of Mombasa while her brother Mwanza is currently building 3.2 km cable stayed bridge si ni ukichaa sasa 🀣🀣🀣 Alaf upo hapa kusema tunakosa amani .. upo timamu kweli wewe .?
 
8 LANES! πŸ”₯ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Makupa ni joke 🀣🀣🀣🀣🀣 Kwahyo tuiweke kwenye category ya wider bridge au .? 🀣🀣🀣, Duniani hakuna list za hivyo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…